Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

Mkuu aliyeuwawa ni mfuasi wa CCM kapigwa mawe mpaka kufa na wafuasi wa Chadema.

usikute alipewa 10000, wabunge wachadema walikatwa mapanga na wafuasi wa ccm mkachekelea, mwenyekiti wa cdm usa river aliuwawa kikatili na ccm mkapotezea, aliekuwa wakala wa chadema aliuwawa na kikosi cha ccm sikuona juhudi unazozionyesha leo kulaani kitendo hicho..mimi na sema safi sana ili viongozi waanze kutenda haki..huwezi kuponda mkutano wetu mbele ya polisi halafu tukakuchekea.
 
TBC wameleta hii habari muda huu muandishi alikuwa anaripoti kutoka Singida anasema wafuasi wa Chadema wamemkimbiza mfuasi wa CCM mpaka nyumbani kwake wakamkamata kisha wakaanza kumshambuli kwa kupiga mawe ya kichwa mpaka huyo mfuasi wa CCM hakakata roho na kufa papo hapo wafuasi wa Chadema wakaondoka zao huku wakishangilia..

Inasikitisha sana sijui tunakwenda wapi Watanzania.
Kufika 2015 Mwigulu atamwaga damu za wananchi wengi. Huyu jamaa ana gundu,inaonyesha kuna laana fulani ndani ya ukoo wake. Alianza mwaga damu Igunga,ikafuata Arumeru, leo ktk jimbo lake.
 
Eti mawe ya mbavu hadi kufa kisa naitetea ccm dhalimu 'kaa la moto mkononi' . Binadamu bhana?! Akrrr wanaudhi.
 
Kufika 2015 Mwigulu atamwaga damu za wananchi wengi. Huyu jamaa ana gundu,inaonyesha kuna laana fulani ndani ya ukoo wake. Alianza mwaga damu Igunga,ikafuata Arumeru, leo ktk jimbo lake.

Mwigulu Kiboko karusha jiwe kutoka Sumbawanga hadi Singida kuuwa mwana CCM.
 
Tanzania yetu hata kama unang'olewa nyeti ukipiga kelele unaambiwa mvunjifu wa amani. Ni utulie kimya wakubwa wakufanye wanachotaka, Viva CDM
 
hii nchi tunaenda wapi ikiwa jeshi lililopewa dhamana kulinda raia na mali zao linashudia watu wanatenda vitendo vya uvunjifu wa amani alafu wanacheka .kisa ni akina flani.tafikia kila mtu ataamu kufanya ajuavyo bila kufuata sheria .hapo nchi tutakua tumeiweka lehani.
 
Kufika 2015 Mwigulu atamwaga damu za wananchi wengi. Huyu jamaa ana gundu,inaonyesha kuna laana fulani ndani ya ukoo wake. Alianza mwaga damu Igunga,ikafuata Arumeru, leo ktk jimbo lake.

hafai kuwa mbunge wala kiongozi wa namna yoyote.hata uongeaji wake bungeni ni wa hovyohovyo tu.
 
Tuanze kumwaga ya mama yako ..kisha tufuate ya baba yako..tuendelee hivyo mpaka tuwamalize ukoo wenu mzima kisha
Tuhahamie kwengine...unauonaje huu mpango ?


Haina kwere aisee as long as the true freedom utapatikana! Unaifahamu novel inayoitwa 'A grain of wheat'? hebu isome kidogo
 
Back
Top Bottom