Hali si njema kwenye Makampuni ya Mawasiliano, Serikali iamke kutoka kwenye Usingizi wa Pono

nimemjibu tu huyo jamaa aliniita mm mbwa ,pasipo kujua yy ni mbwa koko.
Kama hautumii TTCL ni ww sisi wengine tunatumia boss na sio waajiriwa wa shirika.Kwani wapi walisema TTCL ni ya waajiriwa ???
Mara nyingi watu wanaotumia huo mtandao huwa wanamatatizo flani hivi, no offense intended
 
Miezi miwili iyopita tulisikia Kampuni ya Millicom International Cellular SA (MIC) inayomiliki Tigo na Zantel imetangazaa kuwa imeingia makubaliano na kampuni ya Axian kutoka nchini Madagascar kwa ajili ya kuuza kampuni zake mbili za Tigo na Zantel kwa bei ambayo haijaweka wazi.

Mwezi mmoja baadaye nayo kampuni ya simu ya Vodacom ilimesema hakutakuwa na gawio kwa wanahisa katika kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Machi, 2021.

Sababu za kutotolewa kwa gawio hilo ni hasara ya Sh30 bilioni iliyopatikana katika kipindi hicho.

Kutokana na hasara iliyopatikana baada ya kulipa kodi, bodi ya wakurugenzi imeamua kutopendekeza gawio katika kipindi hicho cha mwaka wa fedha ulioishia Machi 31, 2021

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom, Hisham Hendi alisema hasara hiyo inatokana na namna kodi ilivyokokotolewa na kusababisha kutozwa kiwango kikubwa tofauti na mwaka uliopita.

Pia alibainishwa suala la kufungwa kwa laini milioni 2.9 za wateja wao ambao hawakukamilisha usajili liliathiri mapato na faida ya kampuni hiyo.

Ikumbukwe kuwa Katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita (ulioishia Machi, 2020) Vodacom ilipata faida halisi ya Sh45.76 bilioni ikipungua kutoka Sh90.76 bilioni iliyopatikana kwa mwaka ulioishia Machi, 2019.

Wakati hilo halijatulia, jana kampuni hiyo imetangaza kujitoa kudhamini ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2021/2022 kwa kile kilichoelewa kupata hasara ya sh30 bilioni.

Huko Airtel nalo hali si shwari wiki iliyopita tumesikia Kampuni hiyo ya Airtel imeuza minara yake ya mawasiliano wanayo imiliki kwa ubia na kampuni mbili tofauti – SBA Communications Corp na Paradigm Infrastructure Ltd kwa $175 milioni (sawa na Sh400 bilioni).

Mpaka hapa haitaji elimu kubwa sana kujua hali ikivyo mbaya kwenye sekta hii ya mawasiliano inayoingizia nchi fedha nyingi.

Tunapoelekea itakuwa mbaya zaidi, leo wanauza minara, kuacha udhamini wa ligi, kuuza kwa kampuni, kesho tutasikia wamefunga wameondoka.

Hii sio ishara njema hata kidogo niitake Serekali kukaa na haya makampuni ya simu kuona jinsi gani ya kutatua hizi changamoto haraka sana.

Naona kama serekali imelala usingizi wa pono "Haijigusi" Sjasikia Mbunge yoyote akiongela hili ili hali hizo fedha wanazolipana posho zinategemea kodi za haya makampuni.

Pia, Soma:

Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

No any MP is aware of this. Ndugai and the other lot are busy putting themselves fit for the 6th phase government. There is no sober brain in the house to see how devastating the storm is to the communications industry. "Kwa wabunge hawa, wakiwemo na covid-19; mwendazake katuweza".
 
Miezi miwili iyopita tulisikia Kampuni ya Millicom International Cellular SA (MIC) inayomiliki Tigo na Zantel imetangazaa kuwa imeingia makubaliano na kampuni ya Axian kutoka nchini Madagascar kwa ajili ya kuuza kampuni zake mbili za Tigo na Zantel kwa bei ambayo haijaweka wazi.

Mwezi mmoja baadaye nayo kampuni ya simu ya Vodacom ilimesema hakutakuwa na gawio kwa wanahisa katika kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Machi, 2021.

Sababu za kutotolewa kwa gawio hilo ni hasara ya Sh30 bilioni iliyopatikana katika kipindi hicho.

Kutokana na hasara iliyopatikana baada ya kulipa kodi, bodi ya wakurugenzi imeamua kutopendekeza gawio katika kipindi hicho cha mwaka wa fedha ulioishia Machi 31, 2021

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom, Hisham Hendi alisema hasara hiyo inatokana na namna kodi ilivyokokotolewa na kusababisha kutozwa kiwango kikubwa tofauti na mwaka uliopita.

Pia alibainishwa suala la kufungwa kwa laini milioni 2.9 za wateja wao ambao hawakukamilisha usajili liliathiri mapato na faida ya kampuni hiyo.

Ikumbukwe kuwa Katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita (ulioishia Machi, 2020) Vodacom ilipata faida halisi ya Sh45.76 bilioni ikipungua kutoka Sh90.76 bilioni iliyopatikana kwa mwaka ulioishia Machi, 2019.

Wakati hilo halijatulia, jana kampuni hiyo imetangaza kujitoa kudhamini ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2021/2022 kwa kile kilichoelewa kupata hasara ya sh30 bilioni.

Huko Airtel nalo hali si shwari wiki iliyopita tumesikia Kampuni hiyo ya Airtel imeuza minara yake ya mawasiliano wanayo imiliki kwa ubia na kampuni mbili tofauti – SBA Communications Corp na Paradigm Infrastructure Ltd kwa $175 milioni (sawa na Sh400 bilioni).

Mpaka hapa haitaji elimu kubwa sana kujua hali ikivyo mbaya kwenye sekta hii ya mawasiliano inayoingizia nchi fedha nyingi.

Tunapoelekea itakuwa mbaya zaidi, leo wanauza minara, kuacha udhamini wa ligi, kuuza kwa kampuni, kesho tutasikia wamefunga wameondoka.

Hii sio ishara njema hata kidogo niitake Serekali kukaa na haya makampuni ya simu kuona jinsi gani ya kutatua hizi changamoto haraka sana.

Naona kama serekali imelala usingizi wa pono "Haijigusi" Sjasikia Mbunge yoyote akiongela hili ili hali hizo fedha wanazolipana posho zinategemea kodi za haya makampuni.

Pia, Soma:

Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

sasa nyie bavicha nn cha ajabu apo? kwanza tigo hawakufunga kwa sababu ya hasara and its still operational yenyewe kama yenyewe ila usimamizi ndo umebadilishwa! but its the same same tigo,

2) Tigo iliuza hisa zake zote sio tanzania mpaka ghana! so milicom haina presence afrika nzima
3) Voda ilipaswa kuachia ngazi mda mrefu tu, sasa wewe mpinzani wako anawekeza bil 257.8 alafu wewe unatoa mil 80, unafanya nn apo
3) airtel haina minara na sio washirika wa minara, wanatumia mkongo wa taifa, route moja na TTCL

4) mitandao ya simu haina mda mrefu sana kwenye game, kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea kutokea upande wa mawasiliano mfano data, money services! izi calls na sms zmeshakua zilipendwa, najua kabisa bado watu wa sehem kama vijijini bado wanatumia ila the road to connectivity is away from mobile operators
 
Kwano uchumi ukikua kutoka 6.9 mpaka 4.6 unategemea nini? Tulipokuwa tunasema vyuma vimekaza hamkusikia? sasa vimekaza na huko juu.

na wewe mama alikushika akili kwamba uchumi ulitoka 6.9pc mpaka 4.6% 😂 😂 😂
 
Serikali ya Awamu ya 5 ilichukua zaidi ya Bilioni 20 kutoka Account za Vodacom Tz plc kutoka mabenki tofauti NMB na NBC
Madhara ya Mwendazake kwa miaka 5 aliyokuwa madarakani yataendelea kututafuna kwa miaka 5 mingine. Ila siyo kuwa baada ya miaka 5 titakuwa sawa , la hasha ilatutakuwa kama tulivyokuwa mwaka 2015.

Hii Ibilisi ya Chato ilikuwa inatupeleka shimoni bila Mungu kuingilia kati
 
sasa nyie bavicha nn cha ajabu apo? kwanza tigo hawakufunga kwa sababu ya hasara and its still operational yenyewe kama yenyewe ila usimamizi ndo umebadilishwa! but its the same same tigo,

2) Tigo iliuza hisa zake zote sio tanzania mpaka ghana! so milicom haina presence afrika nzima
3) Voda ilipaswa kuachia ngazi mda mrefu tu, sasa wewe mpinzani wako anawekeza bil 257.8 alafu wewe unatoa mil 80, unafanya nn apo
3) airtel haina minara na sio washirika wa minara, wanatumia mkongo wa taifa, route moja na TTCL

4) mitandao ya simu haina mda mrefu sana kwenye game, kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea kutokea upande wa mawasiliano mfano data, money services! izi calls na sms zmeshakua zilipendwa, najua kabisa bado watu wa sehem kama vijijini bado wanatumia ila the road to connectivity is away from mobile operators
Duh unaongea umbea AIRTEL imesema watakodisha minara hiyo hawataindesha kama wao
 
hawjawahi kua na minara na hawawezi kua na minar! wapo route moja na TTCL

Dar es Salaam. Kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Africa PLC imekubali kuuza minara ya mawasiliano ya Airtel Tanzania inayomilikiwa kwa ubia na kampuni mbili tofauti – SBA Communications Corp na Paradigm Infrastructure Ltd kwa $175 milioni (sawa na Sh400 bilioni).

Airtel imeeleza hayo jana Jumatano Juni 2, 2021 kupitia taarifa yake.

Wakati SBA ni mmiliki na mwendeshaji wa miundombinu ya teknolojia ya mawasiliano isiyohusisha nyaya (wireless communication), Paradigm, kampuni ya Uingereza unalenga kukuza, kumiliki na kuendesha miundombinu ya mawasiliao isiyo na nyaya katika baadhi ya masoko yanayokua.

Mauziano hayo yanatoa mwanya kwa kampuni hiyo kujikita katika biashara yake ya msingi ya kuanzisha na kuendeleza mawasiliano baina ya wateja wake.

Hii ina maana kwamba, minara ambayo awali ilimilikiwa na Airtel, sasa itamilikiwa na kuendeshwa na kampuni tofauti, na kwamba Airtel sasa itakuwa inailipia kulingana na mkataba.

Airtel Tanzania inamiliki minara 1,400, ambayo ni sehemu ya mtandao wa mawasiliano yasiyohusisha nyanya unaoendeshwa na kampuni hiyo.

Airtel's Africa inamiliki kampuni za simu katika nchi 14 ikiwemo Kenya, Uganda, Nigeria Zambia na nchi zingine kadha.

sasa umeshajijibu mwenyewe, una swali lingine?
 
Vodacom wamejitakia wenyewe mimi kwa mwezi laini yangu ya Vodacom natumia vocha kidogo ya elfu 40-50 lakini saiz wamepandisha kiasi kwamba nimeipaki tu pembeni huu mwezi wa 2 sasa bila kuwekewea vocha, imagine kuna wengi ambao wanaweka vocha zaidi ya hiyo kwa mwezi wameacha lazima pengo liwepo.!
 
Miezi miwili iyopita tulisikia Kampuni ya Millicom International Cellular SA (MIC) inayomiliki Tigo na Zantel imetangazaa kuwa imeingia makubaliano na kampuni ya Axian kutoka nchini Madagascar kwa ajili ya kuuza kampuni zake mbili za Tigo na Zantel kwa bei ambayo haijaweka wazi.

Mwezi mmoja baadaye nayo kampuni ya simu ya Vodacom ilimesema hakutakuwa na gawio kwa wanahisa katika kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Machi, 2021.

Sababu za kutotolewa kwa gawio hilo ni hasara ya Sh30 bilioni iliyopatikana katika kipindi hicho.

Kutokana na hasara iliyopatikana baada ya kulipa kodi, bodi ya wakurugenzi imeamua kutopendekeza gawio katika kipindi hicho cha mwaka wa fedha ulioishia Machi 31, 2021

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom, Hisham Hendi alisema hasara hiyo inatokana na namna kodi ilivyokokotolewa na kusababisha kutozwa kiwango kikubwa tofauti na mwaka uliopita.

Pia alibainishwa suala la kufungwa kwa laini milioni 2.9 za wateja wao ambao hawakukamilisha usajili liliathiri mapato na faida ya kampuni hiyo.

Ikumbukwe kuwa Katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita (ulioishia Machi, 2020) Vodacom ilipata faida halisi ya Sh45.76 bilioni ikipungua kutoka Sh90.76 bilioni iliyopatikana kwa mwaka ulioishia Machi, 2019.

Wakati hilo halijatulia, jana kampuni hiyo imetangaza kujitoa kudhamini ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2021/2022 kwa kile kilichoelewa kupata hasara ya sh30 bilioni.

Huko Airtel nalo hali si shwari wiki iliyopita tumesikia Kampuni hiyo ya Airtel imeuza minara yake ya mawasiliano wanayo imiliki kwa ubia na kampuni mbili tofauti – SBA Communications Corp na Paradigm Infrastructure Ltd kwa $175 milioni (sawa na Sh400 bilioni).

Mpaka hapa haitaji elimu kubwa sana kujua hali ikivyo mbaya kwenye sekta hii ya mawasiliano inayoingizia nchi fedha nyingi.

Tunapoelekea itakuwa mbaya zaidi, leo wanauza minara, kuacha udhamini wa ligi, kuuza kwa kampuni, kesho tutasikia wamefunga wameondoka.

Hii sio ishara njema hata kidogo niitake Serekali kukaa na haya makampuni ya simu kuona jinsi gani ya kutatua hizi changamoto haraka sana.

Naona kama serekali imelala usingizi wa pono "Haijigusi" Sjasikia Mbunge yoyote akiongela hili ili hali hizo fedha wanazolipana posho zinategemea kodi za haya makampuni.

Pia, Soma:

Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

Mkuu Swala la Airtel kuuza minara yake,na Swala la Vodacom kushindwa kutoa gawio,au Tigo Tanzania kuuzwa,Wala hayahusiani kabisa,
Kuuza minara kwa Airtel,sio ishara ya Biashara kuwa mbaya,ni mkakati tu biashara unaamua kuuza baadhi ya vitengo kwenye kampuni Ili ubaki na kitengo kimoja muhimu,Subcontract,Voda na Tigo waliisha Toka huko,waliuza minara yao kwa HTT,kwahiyo wao hawajengi minara,hawashughurikii mafuta,Wala ulinzi wa minara,shughuri zote hizo zinafanywa na HTT,voda na Tigo ni wapangaji tu,na sio lazima kila mmoja ajenge mnara wake,HTT akijenga,Voda na Tigo wanaweka mitambo yao.
Sasa na Airtel ameamua kufanya hivyo.
Hii kitu ni Sawa Sawa na kampuni kumiriki magari ya kuwarudisha nyumbani wafanyakazi au kuamua kuuza magari yote,na kuingia mkataba na kampuni nyingine iwe inawarudisha wafanyakazi nyumbani,
Hata wafanyakazi wa Airtel upande wa operations,wanaweza kuwa subcontracted/kuuzwa kwa kampuni nyingine lakini wanafanya Kazi za Airtel,
Hizi ndizo strategy za biashara siku hizi,at least kwenye telecom ipo hivyo.
I speak from experience,nipo kwenye hii industry kwa miaka 20
 
Sidhani kama unaelewa hata kilichofanyika hapo Airtel Kwa dunia ya Sasa ili kuboresha huduma watu wanaamua kuoutsorce kazi ,

Airtel imeamua kutoa nje wajibu wa kufanyia matengenezo minara,

Minara inahitaji uangalizi wa mara Kwa mara hivyo makampuni mengi yameona jukumu Hilo apewe mtu wa nje,

Tigo na Vodacom walishatangulia kufanya hivyo na sasa minara yao ipo chini ya Uangalizi wa kampuni ya HTT.

Airtel walikua wafanye hivyo tangia 2016 Ila kampuni iliyotaka kununua hiyo minara ilikumbana na masharti magumu ya uwekezaji ikaona haitapata faida.

Ila naona wamerudi tena na deal imesail through.

Hakuna ajabu hapo ni swala ambalo mtu anapaswa kuuliza kwa wahusika akapata maelezo.
 
Back
Top Bottom