PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,710
- 26,010
Bashe ni orator, hakuna anachoweza kufanikishaBashe ni waziri wa ovyo kuwai kutokea apa Tanzania
Bashe ni orator, hakuna anachoweza kufanikishaBashe ni waziri wa ovyo kuwai kutokea apa Tanzania
Huyu msomali ni mnyonyoji kama vile Zanzibar inavyotunyonya,hana jipyaBashe ni waziri wa ovyo kuwai kutokea apa Tanzania
Gharama za usafiri tokea site ni ya mauwaji,nakumbuka nilitaka kununua mazao tunduma mwaka jana Ile nafika site mahindi yakapanda bei na hayashikiki,na ilikuwa just June last year,hakuna udhibiti wowote kila mtu ni boss nchi hii na makada wako kimya na hakuna mtu anajari kila mtu ni mjuaji na hii ni New world order ya ccm,Wacha kila mtu apambanae na hali yake.In fact uchumi sio mbaya lakini hakuna economic balance,masoko yamejaa madalali nashukuru Muumba niko sector rasmi ni tamaa ya biashara tuu ndo inaniponza.Nenda kanunue kwa bei ndogo kama hao walanguzi halafu uhifadhi kwaka mzima kwa ajili ya kula mwenyewe
Miki sinunui unga kwa taarifa yako, ninatoa mahindi shambani kwanguShangaaa na wewe,yaani mvua zinanyesha wewe uko mjini umechomekea unasubili bei zishuke ili ufaidike thubutu
Hicho chakula kinachoagizwa na walanguzi kutoka nje huwa kinauzwa kwa wakulima wepi huku vijijini.Hiyo hali imesababishwa na nyinyi walanguzi kupata upenyo wa kusafirisha mazao kiholela kwenda nje, mwisho wa siku huyo mkulima atawauzia mazao yote kwa bei chee na yeye atakuwa mhanga wa njaa baada ya muda kidogo na nyie hao hao mtapata vibali vya kuagiza chakula kibovu kutoka nje ili mumuuzie huyo mkulima ambaye kwa wakati huo atakuwa hana tena mazao na pengine hata pesa ameshamaliza.........yaani mnatengeneza scenario ya hovyo kabisa!
Kumbe tatizo ni gharama za usafiri sasa kwa nini hupigi kelele gharama za usafiri zishuke ili mazao yashuke bali mnamlaumu bashe.Gharama za usafiri tokea site ni ya mauwaji,nakumbuka nilitaka kununua mazao tunduma mwaka jana Ile nafika site mahindi yakapanda bei na hayashikiki,na ilikuwa just June last year,hakuna udhibiti wowote kila mtu ni boss nchi hii na makada wako kimya na hakuna mtu anajari kila mtu ni mjuaji na hii ni New world order ya ccm,Wacha kila mtu apambanae na hali yake.In fact uchumi sio mbaya lakini hakuna economic balance,masoko yamejaa madalali nashukuru Muumba niko sector rasmi ni tamaa ya biashara tuu ndo inaniponza.
Unataka kila mtu alime nchi hii? ni watu wangapi wana kipato cha kuhifadhi store chakula cha mwaka mzima! jaribu kuongea kwa uhalisia.Hicho chakula kinachoagizwa na walanguzi kutoka nje huwa kinauzwa kwa wakulima wepi huku vijijini.
Miye niko kijijini hivyo vyakula vinavyoagizwa kutoka nje sijui vinafananaje.
Leta mfano dhahiri ni kijiji kipi kilipelekewa msaada wa chakula kutoka nje.
Hiyo michele ya plastic tuliosikia imeagizwa walaji wakuu ni watu wa mjini ambapo ni sahihi mule hizo takataka kwa sababu hamtaki kulima
Na kwa mtu mwenye akili na una familia unatakiwa kipindi hiki cha mavuno ununue mazao ya kutosha msimu mzima ili ikifika muda ambao bei iko juu wewe uwe unatoa kwenye store yako
Unazijua logistics za kuhifadhi chakula cha mwaka mzima? ni watu wangapi wenye uwezo huo......serikali ibane kabisa hawa walanguzi kusafirisha mazao kiholela kupeleka nje ya nchi na wachukuliwe kama wahujumu.Nenda kanunue kwa bei ndogo kama hao walanguzi halafu uhifadhi kwaka mzima kwa ajili ya kula mwenyewe
Kumbe shida yako ni kuwa bashe azuie mazao yasiuzwe nje ya nchi ili nyie msiolima mnunue kwa bei ndogo.Unataka kila mtu alime nchi hii? ni watu wangapi wana kipato cha kuhifadhi store chakula cha mwaka mzima! jaribu kuongea kwa uhalisia.
Wewe ni MPUMBAVU tu sijui kwanini bado unaandika pumba. Kwani hizo logistics za kuhifadhi umesikia wakilima walilalamika?Unazijua logistics za kuhifadhi chakula cha mwaka mzima? ni watu wangapi wenye uwezo huo......serikali ibane kabisa hawa walanguzi kusafirisha mazao kiholela kupeleka nje ya nchi na wachukuliwe kama wahujumu.
Kwanini mkulima apangiwe Bei kama sio ujinga wenu, unashindwa kuona gharama za kilimo na mateso anayopata mkulima, wewe unaona. Upate Chakula Bure kutoka Kwa mkulima!!! Ndio maana tunasema Elimu yetu inashida kubwa haewezikani Dr unakuja na hoja za kitoto mara mkulima hawezi kuwa jamii forum, mara walanguzi, Hebu angalia vizuri hiyo taaluma yako naona inashida sehemu, Kuna vitu hujaoitia shule ama ni wale watu wamadesa na kuibia mitihani, kufanyiwa research, kuandkiwa utafiti, Kwa Elimu hizo zenu Kwa kweli ni majanga Kwa nchii, na Vyakula vitapanda sana, Kama msomi hujue kwanini Michele, Mahindi, maharge, ngano vipo Juu basi Tunahitaji manabi warudi Hii Elimu yenu mkafungie maandazi Sokoni, Kwa ulewa wangu nimeshindwa kujuwa hizi shule zenu ni za wapi ama Dr wa mazingaombwe!!!kwamba wasiolima wote ni wavivu si ndio alieturoga nani lkn dunia kote watu tunategemeana hakuna binadamu anaweza kufanya vyote, kuna mtu hapa kwa majukumu yake hawezi kulima sio sawa kumuadhibu kisa hajalima wewe umelima
Kama kweli wewe ni Isanga , Ikangamo, chiwanda, njiapanda ya kapele, nakawale, Kijiji Cha wachawi ,mango, Ilana, Luwasho, mnyangarua, lahela, kalamba mzige, utakuwa unamfahamu kuanzia gharama yaNimeona Zambia wamepiga Ban kutoa mahindi nje ya Nchi yao kweli hali sio nzuri...
Kulima ni mateso? Kweli kazi ya mtu unaiita ni mateso? Nadhani chuki zinaanzia hapa kuzani kilimo ni kazi ya laanaKwanini mkulima apangiwe Bei kama sio ujinga wenu, unashindwa kuona gharama za kilimo na mateso anayopata mkulima, wewe unaona. Upate Chakula Bure kutoka Kwa mkulima!!! Ndio maana tunasema Elimu yetu inashida kubwa haewezikani Dr unakuja na hoja za kitoto mara mkulima hawezi kuwa jamii forum, mara walanguzi, Hebu angalia vizuri hiyo taaluma yako naona inashida sehemu, Kuna vitu hujaoitia shule ama ni wale watu wamadesa na kuibia mitihani, kufanyiwa research, kuandkiwa utafiti, Kwa Elimu hizo zenu Kwa kweli ni majanga Kwa nchii, na Vyakula vitapanda sana, Kama msomi hujue kwanini Michele, Mahindi, maharge, ngano vipo Juu basi Tunahitaji manabi warudi Hii Elimu yenu mkafungie maandazi Sokoni, Kwa ulewa wangu nimeshindwa kujuwa hizi shule zenu ni za wapi ama Dr wa mazingaombwe!!!
Njoo tukupe shule why Kuna mfumko wa Bei usiwe mnakurupuka
Umenena vyema kabisa, huku kijijini Iko hivi, Nina shamba lakini sina mtaji ninachokifanya nikuingia mkataba na mtu mwenye mtaji ili nikivuna nimlipe pesa yake, hivyo mara tu baada ya mavuno inanibidi niuze mazao yangu Kwa bei iliyopo hata kama ni mbovu, kumbuka hayo mazao nategemea kuendesha familia Kwa msimu mzima, kumbe hata hayo mazao yatakayobaki baada ya kulipa deni nayo nitauza mapema ili niendeshe familia, kumbuka hapo Bado tuko kwenye mavuno na mazao yote nimeuza, baada ya mavuno atakaye kuja kuuza mazao atakuwa ni mkulima au mfanyabiashara? Hapo mkulima ananufaika au hapana, Serikali ijue baada ya mavuno anayeuza mazao siyo mkulima tena.Mkuu nadhan ww utakuwa ni motivation speaker unaongea lugha laini sana, hiyo laki 2 ongea na mtu ambaye ana eneo tayari sio huyu ambae hana lazima akodi kutoka kwa mmiliki, watu wanakwepa kufanya vitu vinavyohitaji uwekezaji mkubwa,, kilimo sio kigumu wala kama unavyosema mm naamini ugumu upo kwenye mtaji
Mjini kazi ni ngumu kupita maelezo, mji kama Dar watu wanaamka saa 11 alfajiri na kulala saa 7 usiku mwaka mzima,, niambie ni kijiji gani watu wanaishi hivii? Mtu anapandisha juu ghorofa ya tano kifusi cha mchanga kilichomwagwa na lori (mende), hesabu kilometa anazotembea machinga kwa siku hawa hawashindwi kufanya kilimo bali hawana mitaji
Lkn jambo la msingi na ndio lengo la uzi huu serikali iangalie ni namna gani ya ku-balance bei za mazao bila kuathiri soko (walaji) na pia mkulima,, hatuwezi kulima wote na hata tukilima wote tutamuuzia nani ikiwa kila mtu ana mazao?
Sekta zote zinatakiwa zifanye kazi,, mda huo ww unalima kuna utalii, uchimbaji madini, uvuvi nk
Kulima sio shughuli ndogo aisee
- Je unajua gharama ya kulima heka moja ya mahindi, mpunga, maharage n.k?
- Je gharama za kilimo zinarudishwa kwa bei ya soko kwa sasa?
- Kulima si hisani inayofanywa na NGO's ndg; ni uwekezaji.
- Vijana wawezeshwe kulima ili uzalishaji ukue; na bei uwe inatabirika si kuzipa promo bidhaa za mchina: bodaboda
Huu ndio ukweli mkuuUmenena vyema kabisa, huku kijijini Iko hivi, Nina shamba lakini sina mtaji ninachokifanya nikuingia mkataba na mtu mwenye mtaji ili nikivuna nimlipe pesa yake, hivyo mara tu baada ya mavuno inanibidi niuze mazao yangu Kwa bei iliyopo hata kama ni mbovu, kumbuka hayo mazao nategemea kuendesha familia Kwa msimu mzima, kumbe hata hayo mazao yatakayobaki baada ya kulipa deni nayo nitauza mapema ili niendeshe familia, kumbuka hapo Bado tuko kwenye mavuno na mazao yote nimeuza, baada ya mavuno atakaye kuja kuuza mazao atakuwa ni mkulima au mfanyabiashara? Hapo mkulima ananufaika au hapana, Serikali ijue baada ya mavuno anayeuza mazao siyo mkulima tena.
Kwa nini usipiganie wakulima kupewa matrekta, mbolea na nyenzo za kisasa badala ya kupigania kufunga mipaka.Mpaka mda huu nipo field mkuu nakuhakikishia hakuna mkulima ananufaika na hatua hii kuna watu wapo shambani wananunua mazao kisha wayahifadhi kisha wayauze,
Kufanya kilimo cha ufanisi kikulipe ni lazima uwe na mtaji usiopungua milion 4 ni kijana yupi atatoka mjini akalime kwa mtaji huo?
Siku zote wakulima watakao baki ni hawa hawa tulionao ambao wana mitaji ya laki 5 mpaka milion 1 wanaolima ekari moja mpaka 2 kwa msimu
Najua ww inawezekana hujawahi kufanya kilimo thats why unaongea, mda huo unafanya kilimo kuna vitu vitasimama kwa mtu mwenye mtaji huo wa laki 5 - mil 1 huwezi kuendesha kilimo bila ww kuhusika moja kwa moja
Hii ndio inapelekea kukopa na deni linalipwa moja kwa moja na mazao, hawa wakulima wanaolima ekari 200 na kuendelea ni wachache sana nchi hii
Mitaji hakuna mkuu,, hawa unaowataka watoke mjini warudi wakalime kijijini huenda huko mjini wamejiajiri kwa mtaji wa laki 2 na kitu tu pesa ambayo huwezi kuiweka kwenye kilimo
Lkn ni lazima watu wote waende shamba? Kwanini tusiwe na mgawanyo? Inchi inategemea Uvuvi, Madini, Biashara, Sekta kama Utalii tuna wa walimu, madaktari, wahandisi unataka watu wote walime