Wadau, hali ya wanachuo Tumaini Smmuco ni mbaya sana kutokana na wengi wao kutopata mikopo yao hadi sasa. Plz, can somebody tell me what's wrong with Loarns Board?
Nasikititika sana kuona kauli kama hizi zikiwa zinatoka kwa kijana mzalendo kama wewe, nadhani jibu lake ni rahisi sana kwani kila matanzania anajua ya kwamba serikali yetu huwa inasikiliza wapiga kelele. Hivyo basi niniyi pamoja na serikali yenu jipangeni vizuri na kuanzisha maandamano ili muweze kusikilizwa.
Na vilevile mna uongozi mbovu sana na nadhani huwa mnapochagua Raisi manaangalia sura au umri, Wenzenu wa SUA wamefungua na wamekaa sikum 4 ya tano jioni bum limeingia, hivyo ulizieni kwao ili mupewe uzofu wa haya mambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.