ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,112
- 49,826
Swali.
Mbona anakomaa na NGOs lakini anamuacha Papa? 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1755494219697754188?t=8ppSytj_w1Zlq7vswmm4ZQ&s=19
----
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi Mhe. Riziki Lulida ameiomba serikali kugakuga fedha zinazoingizwa katika mashirika ambayo sio ya kiserikali kwani fedha hizo zimekua zikichochea uharibu mkubwa kwenye jamii hasa kuunga mkono swala la ushoga.
Mhe. Riziki Amesema hali ya ushoga Tanzania ni mbaya ikiwa vijana wengi wanaharibika kutokana na ushawishi ambao unaendelea kuenezwa na baadhi ya mashirika binafsi.