Hali ndani ya CCM ni mbaya, Roho ya Makonda inatafutwa usiku na mchana

Unam-cc Pasco wa nini? huyu jamaa credibility yake imeshuka kwa kasi ya ajabu tangu aanze kutanguliza tumbo badala ya kichwa kwenye ishu muhimu
Mkuu Thomas Mwakanosya, kwanza asante kuzungungumzia kushuka kwa credibility yangu humu jf kiasi cha kutokustahili hata cc!, kama credibility ni kitu mtu anachopewa, hivyo mimi kupungukiwa, then nasubiria kuongezewa ili kuijazilizia hapo ilipopungua.

Ila kama credibility is earned, and I did earned such credibility before, then, I might have lost it, hivyo naweza kuijenga tena na ikarudi, au I'm spent force, hivyo I'm finished!.

Just wait and see, ila siku heshima adabu ikinirudia, naomba pia ukumbusjie kuwa sasa imeanza kujaa!.

Asante.

Pasco
 
Mkuu Yericho, hizo data ni za kweli kabisaa na Paul alitumwa na hao akina Membe kumtukana Lowasa, sasa kambi ya Lowasa wapo strategic sana. Wanajua dogo hata kuwa na majibu atakapoulizwa maswali. Sasa akina Membe kama alivyo membe mwenyewe ni wa vitu vyepesi. wanatumia njia za kizamani za kupoteza muda. Na hii itafika wakati watamuwekea ultimatum kwa asipofika kikao hiki na lake halipo.
 
Asante sana mkuu
 
Kwamwendo huu kuna hatari ya ccm kupasuka vipande vipande kabla ya 2015
Mkuu wangu siasa za Bongo ndio hizi yaani vyama vina wenyewe kwa hiyo hata wewe kaa mkao wa kunyolewa ama endelea kuwa kinyozi kwa sasa, ukijua ipo siku utahitaji kunyolewa. Yanayotokea CCM yapo kwa kila chama na hii inadhihirisha msemo wa kwamba (kwa kifupi) - Unaweza kumtoa mtu shamba, lakini ushamba hautamtoka.
 
Hahaaa pole mkuu
 
Wakuu,

Kwa mujibu wa nzi wetu anayecheza viunga vya Lumumba akitutiririshia habari zote mpaka mapigo ya mioyo ya akina Kinana, Nape na wana CCM wote walio juu ya maharamia wote, anatujuza kuwa huko CCM moto wake sio wa kitoto,

Makonda anatuhumiwa kumtusi Lowassa hadharani tena akivaa mwavuli wa UVCCM ilihali hana cheo chochote ndani ya Chama,

Baada ya matusi yale ya nguoni ambayo aliyaporomosha huyu dogo nikuwa mashitaka rasmi yalifikishwa kwenye kamati ya maadili na Lowassa,

Sheria ya CCM inasema kama mtu hayupo kwenye kikao husika cha mashitaka ni mwiko kujadiliwa,

Sasa siku ambayo tayari kamati kuu ilijipanga kumwajibisha (kumvua uanachama) kwenye kikao chake cha mwezi jana, Makonda alikimbilia Ufaransa akitoroshwa na Ridhiwan Kikwete na Bernard Membe kwa madai kuwa anakwenda kwenye semina ya masuala ya katiba,

Baada ya kutokuwepo kwenye kikao husika huvyo iliamuliwa suala hilo lisogezwe kwenye kikao kitakachofuata hasa hiki cha dharula juzi,

Kikao cha juzi tena wakati akiwa tayari kajulishwa kwa barua toka kwa katibu mkuu, Makonda tena alisafiri kwenda Ujerumani kwa madai ya kwenda kufanyiwa uchunguzi wa afya yake, safari hii Membe akihusika kuratibu na taarifa za kuaminika nikuwa hakwenda Ujerumani bali aliongozana na Membe kwenye ziara yake huko Mashariki ya Mbali ambako aliendelea kubaki huko hata baada ya Membe kurudi mpaka cc ilipomaliza kikao chake juzi,

Upande wa Lowasa wanaoonekana ndio wenye nguvu wameapa kuwa ni lazima waikate "roho" ya kisiasa ya Makonda kwa kuhakikisha anafukuzwa uanachama.

- Kaka Yericko kuna wakati nilikuwa ninakuheshimu sana ila hii speed unayokwenda nayo toka hizi siku za karibuni inaanza kuniogopesha sana kwamba kuna nini kimekutokea haswa, maana sio kawaida majungu na uzushi unayoruka nayo tena kila siku na kila mahali kwenye mitandao I mean nimejaribu sana kukusoma nia na madhumuni yako bado sijakupata vizuri lakini pole pole nakukaribia kukuelewa I hope unajua unachokifanya maana hao wamewaponza wengi walip[omaliza kuwatumia wakawatupa kama taka taka I hope wewe haitakuwa hivyo, ila speed yako ni kali sana punguza kidogo haya majungu na uzushi maana hujamaliza moja unazuka na lingine kuna nini mkuu kilichokusibu?

Le Mutuz
 
Hahaaaa Makonda atahudhuria vikao vijavyo au atasafirishwa tena?

Najua sana kuwa wewe ni mmoja ya vibaraka wa Membe hivyo taarifa kama hii ni lazima uichukie,

Yote kwa yote kadi ya dogo Makonda inatafutwa kwa gharama yoyote, na soon atafukuzwa. Labda akamdondokee Laigwanani
 
kuna kiongozi wao waliwahi kusema liwalo na liwe;wakutane tu na dogo awepo tuone itakuwaje.
 
Hahaaaa Makonda atahudhuria vikao vijavyo au atasafirishwa tena?

Najua sana kuwa wewe ni mmoja ya vibaraka wa Membe hivyo taarifa kama hii ni lazima uichukie,

Yote kwa yote kadi ya dogo Makonda inatafutwa kwa gharama yoyote, na soon atafukuzwa. Labda akamdondokee Laigwanani

ina maana NDUGU MAMVI NDIO ANAENDESHA CHAMA CHAO ?
 
Naomba tu kuwashuri vijana wezangu wa miaka ya 80 ma 90 wachunge ndimi zao. Siasa hizi ni ngumu.
 
Back
Top Bottom