Hali mbaya ya hewa Zanzibar

Hali mbaya ya hewa Zanzibar

Hapa hakuna matusi wala kejeli bali ni ukweli mtupu kutoka moyoni mwangu.

Wewe ujue, Mods wanakuendekeza tu kama waliweza kuzipoteza IDs za MS,FF watashindwa wewe! Nyie ndio mnaichafua JF inaoneka sehemu ya wahuni.
 
kwakua natumia sim huwa sijali JUKWAA ishu ni kupata taarifa

watu kama wewe mlilalamika sana issue ya Kanumba ilipoletwa humu mkadai sio mahala pake na sio issue ya siasa, leo mnakula matapishi yenu
 
Wewe ujue, Mods wanakuendekeza tu kama waliweza kuzipoteza IDs za MS,FF watashindwa wewe! Nyie ndio mnaichafua JF inaoneka sehemu ya wahuni.

Ina maana Malaria Sugu na Faiza Foxy ndio wamesha-Rest In Peace kabisa ama wame-Rest In Pieces tu?
 
Huyu mtoa mada ni mwanafalsafa wa hali ya juu na nilishamtambua maudhui ya mada hii ila sikuwa na nafasi ya kuchangia kwa vili nipo busy kidogo, ila ukweli wimbi la Zenj si la kubeza, wanaodharau watakuja jutia litakapokuja funika bara, Hii kitu la kufunganisha vifungo vya shati iko kazi.
 
sugu alisema kimbunga kitawakumba mawaziri, nyerere akasema zenji wakila nyama za watu hawaachi. so hicho kimbunga kiishie huko huko wamalizane wenyewe pemba na unguja hapo hapo mpakani nungwi. Wabara tunateswa sana zanzibar. yaani ukiwa kule huruhusiwi kujiandikisha kupiga kura eti sio mzawa, hapana kupewa ardhi, ukifanya biashara inachomwa moto. Sasa wao kwanini huku waishi kwa amani? waondoke tu. siwapendi hao watu wa zanzibar huo ndo ukweli toka moyoni. hata mademu zao hawajui mapenzi.
 
Umenena ukweli mkuu. Big up sana
 
Back
Top Bottom