Niseme tu ukweli.
Mimi ni kijana mwenye muonekano wa kuvutia sio mrefu sana wala mfupi sana.
Nina kazi nzuri,ila gari bado sina.
Jambo la kushangaza ni kwamba natongozwa sana na wanawake.
Kuanzia tarehe 03/11 mpaka leo tarehe 05/12 tayari nimetongozwa na wanawake 6,watano kati ya hao sijawakubalia bado ila mmoja tayari nimelala naye.
Jambo ambalo najiuliza ni kwamba ,hii inatokana na nini?
Wanaume wenzangu pia mnakutana na hiki kitu.
Nb.ningeweka screenshot za chatting ila sipendi kuharibu privacy za watu.