Hali imekua tete mitaani wanawake ndio wanatongoza wanaume

Hali imekua tete mitaani wanawake ndio wanatongoza wanaume

Unataka ulipe ada za kina junia za santa Santa na Kodi ya nyumba ya mwaka eeeh!
We ngoja tu utaona mwenyewe
 
Niseme tu ukweli.
Mimi ni kijana mwenye muonekano wa kuvutia sio mrefu sana wala mfupi sana.
Nina kazi nzuri,ila gari bado sina.
Jambo la kushangaza ni kwamba natongozwa sana na wanawake.
Kuanzia tarehe 03/11 mpaka leo tarehe 05/12 tayari nimetongozwa na wanawake 6,watano kati ya hao sijawakubalia bado ila mmoja tayari nimelala naye.
Jambo ambalo najiuliza ni kwamba ,hii inatokana na nini?
Wanaume wenzangu pia mnakutana na hiki kitu.
Nb.ningeweka screenshot za chatting ila sipendi kuharibu privacy za watu.
Shule zinafunguliwa tarehe 6 January 2020 tutaona mengi.
 
Ni kweli mkuu, Inawezekana
Kawaida mkuu....
Hata wanawake wanapenda na kutamani na hii mitandao ya simu ndio imerahisisha mambo mengi

Ni blessing ingawa kwa mwanaume ni kama sala, Huwezi kuipayuka kwa kila mtu
 
Kawaida tu siku hizi, enzi zile mwanamke kumtongoza mpaka ukamvizie kisimani na ukipata muda wa kuongea nae ni dakika kumi nyingi. Ila ssa hivi mitandao ya kijamii inarahisisha sana mwanamke kumtongoza mwanaume hata asipokuchana live kuna viashiria na wewe kama mwanaume utajua huyu manzi anataka nini.

mimi juzi nimepata tunda kimasihara tu, sijamtongoza wala hajanitongoza kuchati tu tukaibukia kula tunda la kati.
 
Kama hii chai unayoisambaza hapa itakuwa n nje ya hii nchi labda kweli yawezekana.
Lakini wanawake, wa nchi hii hawana uwezo wa kumtongoza mwanaume asilimia kubwa Sana, I think more than 90 percent wanakuwa na uoga flani hivi Ila labda signs tu wanaweza onyesha .
Sasa ,Kama ni kwl mkuu inawezekana unavitabia flani hivi vya kufanana nao ,,,,,,[emoji2][emoji2][emoji2]

Back
Top Bottom