Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,428
- 191,710
Na wapigwe nao tu maana hamna namna!
Hahaha dada zako hao..
Hahaha dada zako hao..
Nikupasie mkuu!?Na wapigwe nao tu maana hamna namna!
we c ulishatwambia unapenda usingo maza!Mmmhhh... Hata kama kama hamna wanaume wakutosha its better niwe pekeangu kuliko mke wa pili
Hahahaha mkuu umenikumbusha kitu, jana mdada kanifata messenger tumechat mpaka basi ni mzenji yeye sasa nilipomwambia nina mke na yeye awe upande wa kushoto eti hataki. Sasa nimemwambia utazunguka sana wenzio wanaitafuta nafasi kama hiyo bado hadi leo hujazinduka?
Na usawa huu atasubiri sana.
Hapana mkuu ilikua tunapiga stori mi nikiamua kutaka kuowa hachomowi. Najua mbinu za kumbana ila kuna mtu nilishamwekea ahadi ndo nataka nije nimuowe.Naona frustration za kuambiwa hayo ndio zimekufanya uwaze uwazayo. Pole lakini
Aaaah ....ebu ngoja niwe mwanamke wa dar kwa muda.....Nokia nakupenda sana....kila nikilala nakuota wewe Tafadhali nikubalie utulize mtima wangu ....hope maombi yangu utayafikiriaNamm nasubiri mmoja anitongoze
Aaaah ....ebu ngoja niwe mwanamke wa dar kwa muda.....Nokia nakupenda sana....kila nikilala nakuota wewe Tafadhali nikubalie utulize mtima wangu ....hope maombi yangu utayafikiria
AhahahahahahaTatizo ww una mapozi sana bila hivyo siku nyingi tungekuwa tayari
Hiv unajua nafanana na hao alowapost shida na raha ati???Tatizo ww una mapozi sana bila hivyo siku nyingi tungekuwa tayari
Hongera kwa hilo,Mi nimewatosa watatu!wasumbufu haoo,wananipigia miselee hadi mtaani!
Nashukuru saana Mkuu,vipi mtaani kwenu?Hongera kwa hilo,
Ondoa flight mode bosi.Kwanini sitongozwi sasa na hao wanawake?
ngoja leo nizunguke zunguke kitaa,nitakupa feedbackMitaani mkuu, kwani mtaa wa kwenu sasa hivi aliekuwa akikidharau hajichekeshi akikuona?
Nifundishe mkuuOndoa flight mode bosi.
sasa mbona hakuna mzuri hata mmoja hapo mkuu.....au macho yangu[emoji2]Kati ya hao mmoja wapo kaniganda sana.View attachment 773453