Chinedu5
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 784
- 2,818
mkuu upo mkoa gani??nakushauri utembee mikoa tofauti tofauti ujionee,na utu uzima huu nishawahi kusimamishwa na madada mara za kutosha,achilia mbali wa sms na wale wamitego!!tembea tembea uone!!
Kama hii chai unayoisambaza hapa itakuwa n nje ya hii nchi labda kweli yawezekana.
Lakini wanawake, wa nchi hii hawana uwezo wa kumtongoza mwanaume asilimia kubwa Sana, I think more than 90 percent wanakuwa na uoga flani hivi Ila labda signs tu wanaweza onyesha .
Sasa ,Kama ni kwl mkuu inawezekana unavitabia flani hivi vya kufanana nao ,,,,,,[emoji2][emoji2][emoji2]