mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,404
- 3,420
Jiji la Mogadishu ni zuri na limepangika.ila kwa udogo ni dogo ukilinganisha na jiji la DarVip Jiji la Mogadishu ni zuri kuliko Dar mkuu?!...just curious to know !
Tofauti ipo kubwa sana kati ya watanzania na wasomali..
Nimepigwa ban kisa hiyo sentensi.
Mogadishu kwenye kupangilia mji wao, dar ikasome. Sehemu ambazo hata makazi bado kote kumepimwa(surveyed) na barabara zimechongwa vizuri sana. Kifupi hakuna viwanja holelaVip Jiji la Mogadishu ni zuri kuliko Dar mkuu?!...just curious to know !
Umefika lini Mogadishu we mataga? Kwanza achana na JF we karani watu wanawasubiri majumbani huko we kishikwambi unaperuzia JF haya toka haraka sana kahesabu kaya zako.Mogadishu kwenye kupangilia mji wao, dar ikasome. Sehemu ambazo hata makazi bado kote kumepimwa(surveyed) na barabara zimechongwa vizuri sana. Kifupi hakuna viwanja holela
Hiyo sio sababu. Kuna nchi hazina Vita na zina Maendeleo makubwa sana kutuzidi mfano Botswana.Wametuzidi kwa sababu kuna vita. Wale watu lege lege wavivu wavivu wamepakimbia na kwenda sehemu zenye amani kama Tanzania na kuja kuunganika nao kuendelea kulala, kukaa vijiweni bila kazi, kufuatilia udaku n.k..
Wale wapambanaji wa kivita na kimaisha wameendelea kubaki huko huko na ndio hao wanaleta maendeleo kwa sababu hawataki mchezo!
"NO STRAIN, NO GAIN"
Sasa ulitaka awekeje. Yaan unafananisha na Sudan ya kusin hii iliyopata uhuru juzi juzi tu hapa. make wao tangu wapate uhuru wanapigana. Make Ile ya warabu inatuzidi maendleo mbali sana.Hiyo sio sababu. Kuna nchi hazina Vita na zina Maendeleo makubwa sana kutuzidi mfano Botswana.
Na Kuna nchi zina Vita Ila hazina Maendeleo yoyote mfano Sudan.
Weka hoja zako vizuri.
Wewe dada sikia, Mogadishu Somalia nimewahi kufika kwa project maalum. Kuanzia Jaabad hadi Degmada kuna maelfu ya plots zimepimwa na kutengenezwa barabara ila hakuna nyumba wala mkazi yoyote. Kifupi wao miundombinu inaanza alafu watu ndio wanafatia.Umefika lini Mogadishu we mataga? Kwanza achana na JF we karani watu wanawasubiri majumbani huko we kishikwambi unaperuzia JF haya toka haraka sana kahesabu kaya zako.
Hata huelewi nilichojibu. Sababu aliyotoa sio ya kweli ndio maana nikamtolea hiyo mifano.Sasa ulitaka awekeje. Yaan unafananisha na Sudan ya kusin hii iliyopata uhuru juzi juzi tu hapa. make wao tangu wapate uhuru wanapigana. Make Ile ya warabu inatuzidi maendleo mbali sana.
Ilikuwaje mkuu? Tupe mkasa!Nimepigwa ban kisa hiyo sentensi.