Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

utakuta serikali inanunua ndege, wakati dege moja tu ni sawa na mabasi kama hayo zaidi ya 200. au ile mipesa wanaenda kulipa kwasababu walivunja mikataba vibaya, inatosha kabisa kuondoa hiyo adha. africa ni mindset tu ila resources tunazo.
SAna. Madege yapo JNIA pale yamekaa tu. Hizo pesa wangenunua hata mabasi 400 ya huu mradi. Kwanza basi 400 zingeingiza faida haraka kuliko midege iliyolala pale
 
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru lakini MIUNDO MBINU NI HOVYO

AIBU TUPU
 
Back
Top Bottom