Hali ilivyo Dodoma Wakati huu.

Hali ilivyo Dodoma Wakati huu.

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,948
Reaction score
74,431
Msanii huyu katoa picha halisi ya hali ilivyo Dodoma wakati huu.
ImageUploadedByJamiiForums1436514677.965163.jpg
 
Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM!
 
Mimi nimeona ma-MPs wengi wa JWTZ maeneo ya White House na katika makutano mbalimbali ya barabara kuelekea mkumbi mpya wa mikutano wa CCM!

JWTZ wako standby
 
Kati ya zote katuni bora kabisa kwangu ni ile ya Mangula akiwapima ha!ha!
 
Daaa! mlango ukifunguka hapo halafu Nape atoke nje kwenda kununua vocha ya simu tu nadhani kuna wajumbe watazimia kwa kihoro!
Daah, nimecheka sana. Maana kuna wengine watatimua mbio kabisaa!
 
Back
Top Bottom