Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Tysoni kaka yangu, nani alikushauri ukachukue form zao???
ndio hivo akiwa rais atarudisha vijana kijijin wakalme
Tysoni kaka yangu, nani alikushauri ukachukue form zao???
nimependa uchambuz wako na hvyo ndivyo itakavyokuwa.
lowasa fisadi.. watu waliopo nyuma yake ndio hatari zaidi mf: chenge, rostam n.kjipen moyo kuliko.mumuweke membe si bora lowasa
Kati ya zote katuni bora kabisa kwangu ni ile ya Mangula akiwapima ha!ha!
hawa mafisadi watauana mwaka huu
Kesho 12/7/2015 kwenye mkutano mkuu, ndio tutaifahamu vizuri ccm.kaazi kwelikweli