Ahahaaa...
![]()
Hao sita waliokaa (watano kwenye viti na mmoja sakafuni lakini ameegemea ukuta)wanaashiria kuwa tayari tano bora imeshapatikana, halafu Jaji Ramadhani mgombea mwenza. Wakifika Mkutano mkuu Bilal "anakatwa" kwa kuwa ni Mzenji,pamoja na wengine watatu (WN,Prof, na Mtoto wa mkulima) halafu BCM anapeperusha bendera. ENL kaweka mkono shavuni ameshajua matokeo!!!