Jema litoke wapi? Anafanya yote madeni ya korosho bado, mawakala pembejeo, wazabuni mbali mbali, sijui bado uhakiki! Takwimu za Covid-19 hamna, hatuaminiki madereva wanasumbuka na vyeti,eti mmoja anasema alipima Arusha na kupewa cheti, Arusha kuna maabara ya kupimia Covid-19 au kupima joto? Tunashangaza sana!Duh, watu hawana jema.
Kuna bwawa la umeme, Ubungo interchange, Reli ya umeme, Hospitali, vituo vya afya na zahanati. Elimu bure. Umeme vijijini.Jema litoke wapi? Anafanya yote madeni ya korosho bado, mawakala pembejeo, wazabuni mbali mbali, sijui bado uhakiki! Takwimu za Covid-19 hamna, hatuaminiki madereva wanasumbuka na vyeti,eti mmoja anasema alipima Arusha na kupewa cheti, Arusha kuna maabara ya kupimia Covid-19 au kupima joto? Tunashangaza sana!
May be hali itakaa sawa July baada ya pesa kuingia kwenye mzungukoTarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.
Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.
Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market
Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua kwa nini hali hii imetokea. Hii ni muujiza wa kwenye vitabu vya rekodi za Dunia.
View attachment 1469821

Mchango wa hovyo kabisa. Madaraja na hiyo DSE vinahusiana nini? Hisa inanunua Serikali? Umenikera sana! Tujitahidi akili zetu ziitegemee, na sio lazima kila uzi ukomment.Kuna bwawa la umeme, Ubungo interchange, Reli ya umeme, Hospitali, vituo vya afya na zahanati. Elimu bure. Umeme vijijini. Kuongezeka kwa access ya maji baadhi ya maeneo. Kuendelea kulipa mishahara watu na hali hii ngumu bila kupunguzia watu.
To mention but a few.
Hayo mkuu wewe hujaona?
Au ni chuki nichukie. Kisa umekosa wewe.
Fafanua basi msomi tujueKwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
Huna sababu ya kutukana ,jaribu kujibu kwa ustaarabu!Unataka kulinganisha London Stock Exchange na Dar es Salaam? Dar tuna kampuni 25 na LSE ina zaidi ya kampuni 2600 kutoka zaidi ya nchi 60.
London stock exchange ina miaka 450 wakati DSE ina miaka 24.
Zero volume trading iliwahi kutokea miaka ya great economic depression lakini hii ya kwetu ya kutokea wakati hakuna mporomoko wa uchumi ni ajabu ya Dunia.
Nimekutajia hapo sababu ama hujaelewa?.
Unataka kulinganisha Newyork Stock Exchange na Dar es Salaam Stock Exchange?
Acha kukurupuka mimi nimemjibu alueniquote. Yeye ndie alitoka nje mimi nikamjibu kulingana na maelezo yake.Mchango wa hovyo kabisa. Madaraja na hiyo DSE vinahusiana nini? Hisa inanunua Serikali? Umenikera sana! Tujitahidi akili zetu ziitegemee, na sio lazima kila uzi ukomment.
Mstaafu Mkapa siku ile pale Chamwino aliongea vizuri na kwa busara sana kwamba kila AWAMU Serikali imtekeleza yake. Mnasifia HD kuiharibia tena Chama.
Mkuu isingefanya hayo ulitaka ifanye nn? Au haujui wajibu wa serikali? Issue ni zero volume of trade ya DSE wakati hakuna mdororo wowote wa uchumi.Kuna bwawa la umeme, Ubungo interchange, Reli ya umeme, Hospitali, vituo vya afya na zahanati. Elimu bure. Umeme vijijini. Kuongezeka kwa access ya maji baadhi ya maeneo. Kuendelea kulipa mishahara watu na hali hii ngumu bila kupunguzia watu.
To mention but a few.
Hayo mkuu wewe hujaona?
Au ni chuki nichukie. Kisa umekosa wewe.
Kuna jamaa huko juu, analalamika serikali ijafanya kitu. ndio nikamwambia baadhi ndio hayo.Mkuu isingefanya hayo ulitaka ifanye nn? Au haujui wajibu wa serikali? Issue ni zero volume of trade ya DSE wakati hakuna mdororo wowote wa uchumi.
Uchumi wetu upo vizuri. Tutembee vifua mbereeeee😂😂😂Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.
Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.
Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market
Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua kwa nini hali hii imetokea. Hii ni muujiza wa kwenye vitabu vya rekodi za Dunia.
View attachment 1469821
Hayo yote yafanyike, kama unahisi sehemu ya fedha zako ujalipwa kihalali, unategemea uone nini? Na mie nidhurumike nisitoe maoni yangu? Mie hapo sioni jema wakati nadai!Kuna bwawa la umeme, Ubungo interchange, Reli ya umeme, Hospitali, vituo vya afya na zahanati. Elimu bure. Umeme vijijini. Kuongezeka kwa access ya maji baadhi ya maeneo. Kuendelea kulipa mishahara watu na hali hii ngumu bila kupunguzia watu.
To mention but a few.
Hayo mkuu wewe hujaona?
Au ni chuki nichukie. Kisa umekosa wewe.
Jana kazitupia kwa Dr Mwele, eti alipomfukuza wamemuajiri utadhani ajira za kimataifa ni za vimemo au bidii yako ya kuimba kwaya. Kule ni CV na qualifications zako ndizo zinazokubeba.Tunakusanya Trillion 1.9 kwa mwezi hadi mabeberu yanatuoneaa wivu. Akitoka apo anamwambia doto na waziri wa fedha waombe pesa za korona toka IMF/ WB....Wanamyima alafu hasira zake anapeleka kwa wapinzani kuwa ndyo wamesababisha anyimwe mkopo.
Duh, ubinafsi.Hayo yote yafanyike, kama unahisi sehemu ya fedha zako ujalipwa kihalali, unategemea uone nini? Na mie nidhurumike nisitoe maoni yangu? Mie hapo sioni jema wakati nadai!
Tunakusanya Trillion 1.9 kwa mwezi hadi mabeberu yanatuoneaa wivu. Akitoka apo anamwambia doto na waziri wa fedha waombe pesa za korona toka IMF/ WB....Wanamyima alafu hasira zake anapeleka kwa wapinzani kuwa ndyo wamesababisha anyimwe mkopo.