AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Leo, bei ya NMB ni 2340 na CRDB ni 185. Ungenunua NMB, thamani imeshadouble...Kuna siku nilitaka kununua hisa za bank, nilivyoingia kuangalia nikaona kama na beti eti! yaani;
CRDB=150
DCB=340
NMB= ilikuwa inauzwa kwa zaidi ya 1000 yaani nikaona kama nabeti live.