Hali ilivyo Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.

Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.

Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market

Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua kwa nini hali hii imetokea. Hii ni muujiza wa kwenye vitabu vya rekodi za Dunia.
20200606_004315.jpg
 
Kwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
 
Tunakusanya Trillion 1.9 kwa mwezi hadi mabeberu yanatuoneaa wivu. Akitoka apo anamwambia doto na waziri wa fedha waombe pesa za korona toka IMF/ WB....Wanamyima alafu hasira zake anapeleka kwa wapinzani kuwa ndyo wamesababisha anyimwe mkopo.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
Wewe akili huna.

Unataka kulinganisha London Stock Exchange na Dar es Salaam? Dar tuna kampuni 25 na LSE ina zaidi ya kampuni 2600 kutoka zaidi ya nchi 60.

London stock exchange ina miaka 450 wakati DSE ina miaka 24.

Zero volume trading iliwahi kutokea miaka ya great economic depression lakini hii ya kwetu ya kutokea wakati hakuna mporomoko wa uchumi ni ajabu ya Dunia.

Nimekutajia hapo sababu ama hujaelewa?.

Unataka kulinganisha Newyork Stock Exchange na Dar es Salaam Stock Exchange? Una akili kweli?
 
Kwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
Acha mihemko
 
Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.

Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.

Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market

Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua kwa nini hali hii imetokea. Hii ni muujiza wa kwenye vitabu vya rekodi za Dunia.
View attachment 1469821
Wewe ni mhujumu uchumi.
 
Tupo vizuri hii ni juhudi za Rais wa wanyonge na mpambanaji rais wa awamu ya tano hebu tumpigie makofi.
,
 
Back
Top Bottom