Hali ikiendelea hivi, Nashera hotel nayo itafungwa!

Duh Moro inaelekea biashara ngumu. Pale Msamvu kuna mtaa una lodge ova Makanisa Mbeya.
Alafu Pana sarange kama walivyo sarange wa mabasi kudalalia vyumba. Huwa nakereka Sana mijitu na nguvu zao badala ya kubuni kazi zenye akili endelevu inang'ang'ania kwenda kukuonyesha lodge apate vibukubuku
 
Fa.vkn job 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom