Hali ikiendelea hivi, Nashera hotel nayo itafungwa!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Ukifika pale, huitaji kukagua vitabu vya orodha ya wageni kujua kuwa hoteli ina uhaba mkubwa wa wateja hasa wale wa kulala...

Vyumba Vingi vina giza totoro ikiashiria kuwa viko tupu na pengine vimekuwa tupu kwa muda mrefu.

Wasi wasi wangu in kuwa kile kilichoikumba Land mark hotel kugeuzwa hostel kinaweza kikatokea pia kwenye hii hotel maarufu mji kasoro bahari...
 
Waulize business plan yao. Kama walijenga hotel kwa kutegemea hela za semina na warsha za serikali lazima ile kwao. Ni kanuni ya maisha! Sijaitunga mimi! (as Le Mutuz would say)
jibu zuri
 
Ukifika pale, huitaji kukagua vitabu vya orodha ya wageni kujua kuwa hoteli ina uhaba mkubwa wa wateja hasa wale wa kulala...
Vyumba Vingi vina giza totoro ikiashiria kuwa viko tupu na pengine vimekuwa tupu kwa mda mrefu.
Wasi wasi wangu in kuwa kile kilichoikumba Land mark hotel kugeuzwa hostel kinaweza kikatokea pia kwenye hii hotel maarufu mji kasoro bahari...

Watu walizoea kufanya safari na semina ili kustawisha hotel na siyo kuwapelekea wananchi maendeleo
 
Wacha hostel ziongezeke,pesa za field wakose na pakulala
 
Kuitegemea serikali kama mteja wako ni harass ya muda wowote ule
 
Ukifika pale, huitaji kukagua vitabu vya orodha ya wageni kujua kuwa hoteli ina uhaba mkubwa wa wateja hasa wale wa kulala...
Vyumba Vingi vina giza totoro ikiashiria kuwa viko tupu na pengine vimekuwa tupu kwa mda mrefu.
Wasi wasi wangu in kuwa kile kilichoikumba Land mark hotel kugeuzwa hostel kinaweza kikatokea pia kwenye hii hotel maarufu mji kasoro bahari...
Ile Flomi Hotel ndio usiseme kila nikiangalia naona hakuna harakati zozote za wapangishaji
 
Labda tungefungua kabisa Jukwaa la "Kuisoma Namba"
 
Siku hizi semina zinafanyika mashambani,kwenye site za ujenzi,hospitalini,viwandani (uchafuzi wa mazingira) ,ukabidhiji wa madawati, semina za hotelini zilishakufa na kuzikwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom