Hali hii ya mpenzi mpya imenichosha

Hali hii ya mpenzi mpya imenichosha

hali ya kawaida
si bora huyo hata mwanzoni unapata maji maji
wengine mikebe yetu mikavu mwanzo mwisho mkavuuuu..mpk upake mafuta
sema kuna wanaume wanaopendaga hivo
kama ww huyo sio mikato yako muache tu tafuta mikato yako.
Hata mimi napenda maukavu.
 
hahaaa,daaaah!kweli ndiyo yawe maisha ya kudumu ya kutumia vilainishi?vp madhara yaker kwa matumizi ya muda mrefu?

Nimekuelewa sasa.

Anyway seek medical advice usikimbilie kuwaza kumuacha...especially if you really mean that you love her!
 
Hata mimi napenda maukavu.
hali ya kawaida
si bora huyo hata mwanzoni unapata maji maji
wengine mikebe yetu mikavu mwanzo mwisho mkavuuuu..mpk upake mafuta
sema kuna wanaume wanaopendaga hivo
kama ww huyo sio mikato yako muache tu tafuta mikato yako.
ina maana ninyi wawili mkikutana ni vua niweke,hamna kuandaa mazingira
 
ina maana ninyi wawili mkikutana ni vua niweke,hamna kuandaa mazingira
ndo inavokuaga
mwanzo nilijishangaaga kwann nikiwa na mtu ananiandaa mara ya kwanza tu...lkn baada ya hapo haniandai tena kwann... kumbe anaona haina haja
yani mnagegedana kijeshi zaidi ngoma ikiwamba
mbona utaelewa somo... na hatuachikagi kirahisi
 
Mrudie wa zamani. Maisha ya kimapenzi ni shida mno. Huwezi pata 100% mkamilifu. Ukiendelea hivyo utajikuta unazeeka mkuu bila ndoa. Maana kila mtu ana kasoro yake
 
Basi kama huna govi,utakuwa na bacteria wamekubamba kwenye shaft na balls.
unaongea kwa ujasiri na experience mno,inaelekea unaujua sana huo ugonjwa.Hebu nieleze uliponaje?
 
ndo inavokuaga
mwanzo nilijishangaaga kwann nikiwa na mtu ananiandaa mara ya kwanza tu...lkn baada ya hapo haniandai tena kwann... kumbe anaona haina haja
yani mnagegedana kijeshi zaidi ngoma ikiwamba
mbona utaelewa somo... na hatuachikagi kirahisi
mmh we kweli kiboko
 
Mrudie wa zamani. Maisha ya kimapenzi ni shida mno. Huwezi pata 100% mkamilifu. Ukiendelea hivyo utajikuta unazeeka mkuu bila ndoa. Maana kila mtu ana kasoro yake
wa zamani alishaolewa,sababu ya kuachana naye ilikuwa yeye kafikia umri wa kuolewa wakati mimi sikuwa tayari,nikamuomba anipe muda akaona atakuwa anacheza pata potea,akaamua aanze maisha mbele kwa mbele.
 
unaumia mwanzoni na kama unaskilizia ila uki relax huumii kwa7bu maji yanayoleta utelezi yanakuwaga kwa kiasi chake yani co mengi
so uki relax mwake tuu....
sema uzuri wake mikebe ya hivo haitanukagi hata cm moja kila cku unaanza upya.!!
 
unaongea kwa ujasiri na experience mno,inaelekea unaujua sana huo ugonjwa.Hebu nieleze uliponaje?
Nilienda kwa KARUMANZIRA,akanipa koroboi inawaka,akasema niibabue gegedo yangu kama vile nachoma mshikaki kwa wiki mara 3 gegedo ikapona ndani ya wiki 2,nikahamia kwenye korodani nazibabua kama viazi ulaya mara 2 kwa wiki nikapona ndani ya wiki 2.
 
wa zamani alishaolewa,sababu ya kuachana naye ilikuwa yeye kafikia umri wa kuolewa wakati mimi sikuwa tayari,nikamuomba anipe muda akaona atakuwa anacheza pata potea,akaamua aanze maisha mbele kwa mbele.
Duh! Pole sana
 
unaumia mwanzoni na kama unaskilizia ila uki relax huumii kwa7bu maji yanayoleta utelezi yanakuwaga kwa kiasi chake yani co mengi
so uki relax mwake tuu....
sema uzuri wake mikebe ya hivo haitanukagi hata cm moja kila cku unaanza upya.!!
Daah yaani nyie wa hivyo nikiwapata natangaza ndoa,tatizo mko wachache.
 
Wadau,nina historia ndefu kwenye mapenzi.Pamoja na changamoto zote zilizowahi kusababisha mahusiano yangu ya huko awali kuvunjika,sijawahi kutoa ya moyoni ila kwa huyu wa sasa wacha nizungumze labda kuna mtu anaweza akawa anajua suluhisho akanisaidia kabla sijamkacha huyu kimwana niliyemnasa awamu hii ya Magufuli.

Huyu mrembo mara ya kwanza kukutana naye kimwili nilimuandaa vizuri mpaka akaiva kufikia yeye kudai dyudyu,basi bila ajizi nikampenyezea na ikazama bila matatizo.Game ikaendelea na kiukweli mtoto anaweza shughuli hasa kutoa ushirikiano na miguno ya kimahaba.Baada ya dakika kati ya 5-6 yeye akawa amefikia climax na niliona hali ile,moyoni nilifurahi kumfunga moja bila.Si mnaelewa mechi ya kwanza ni ya lazima ukaze sana.Basi mi nikaendelea kusukuma gia wakati huu nikimbadili mkao,baada ya kama dk 2 nikahisi anaanza kuwa mkavu.Hali ile ikaendelea kwa takribani dk moja mpaka akaniambia anasikia maumivu huku akinisukuma,nikachomoka.Ikabidi tuanze tena romance ili hali ya umaji maji irejee,ilichukua kama 20 minutes kumuweka sawa na kurudi kwenye tendo.Wakati huu nikajitahidi kuweka concentration kubwa nimalize mapema ili hali ile isijirudie. Bahati nzuri dk chache baadaye nikawa nimefika lakini kwa tabu maana nilihisi anaanza tena kuwa mkavu.

Kiukweli hali hiyo imekuwa ikijirudia kila nikikutana naye,yaani yeye akishafika haimchukui dk 2 ashakuwa mkavu hivyo anahitaji kuandaliwa upya.Kinachonipa wakati mgumu ni kuchomoa na kuanza tena kumuandaa kwa dk si chini ya 15 wakati mimi mwili ushapata joto.Hali hiyo haijawahi tokea kwenye mahusiano yangu yaliyopita na inanipa tabu.Nilishazoea ukimuandaa mwenzako akawa tayari basi unapiga mpaka umalize,hata kama kuna romance hapo katikati si ile ndefu kama vile unamuandaa upya kwa tendo lingine.
kuna siku hali ile ilivyotokea nikamwambia afanye blow job lakini akakataa akasema hajawahi na wala hapendi kwani anahisi anaweza tapika.

kwa sasa hata hamu naye sina japo nampenda,mara nne zilizopita kaja home tumekaa fresh ila sijamgusa kabisa.Juzi kanitumia msg akihoji hali hiyo,kwamba anafika kwangu ila anaona sina hamu naye,mpaka anahisi nimepata mwingine.kiukweli nisipopata ufumbuzi wa hili naachana naye,napata tabu.
karibuni kwa ushauri,lugha nzuri itakuwa vema zaidi.
ale bamia na majani ya mapapai...halafu ikiwezekana aandaliwe kwa staili ya muuza maji kama unaifahamu hyo staili ya muuza maji
 
Back
Top Bottom