Hali hii ya mpenzi mpya imenichosha

Hali hii ya mpenzi mpya imenichosha

Jitahidi mkojoe wote.. Kama wewe unavyofika mdudu unasinyaa na huwez kuendelea pia sisi tukifika maji yanakata
 
Wadau mpenz kanipigia simu kunijulia hali,nimemwambia niko fresh!Kaniambia anakuja usiku wa saa 4 kulala kwangu,nimejaribu kumpa visababu vya hapa na pale kama majukumu ya kesho lakini kakomaa anasema nitakua nina ratiba na mwanamke mwingine!Nimemkubalia kishingo upande ila najua naenda kukutana na ule usumbufu kabla sijaupatia ufumbuzi!Nitawapa updates
Vipi ulipiga mzigo ?
 
Enzi za ujana wangu kuna mmoja alinijia na ky-jelly, nikahisi napewa tunda lililokatazwa, hadi nikaishiwa maneno. Kumbe mwenzangu alijua tatizo lake, she never used to get wet throughout (wengine tunapenda majiii).

Umeshaambiwa sababu, zifanyie kazi.
 
Bora hiyo scenery Mkuu, you can add some lubricants, maji pia yakizidi ni shida zaidi manake hata huko kukojoa itakuchukua zaidi ya lisaa manake friction inakosekana kabisa mpaka mtu unatamani kula ndog.o ndio ukojoe vinginevyo utashinda kifuani na usikojoe kabisa.
 
Wadau,nina historia ndefu kwenye mapenzi.Pamoja na changamoto zote zilizowahi kusababisha mahusiano yangu ya huko awali kuvunjika,sijawahi kutoa ya moyoni ila kwa huyu wa sasa wacha nizungumze labda kuna mtu anaweza akawa anajua suluhisho akanisaidia kabla sijamkacha huyu kimwana niliyemnasa awamu hii ya Magufuli.

Huyu mrembo mara ya kwanza kukutana naye kimwili nilimuandaa vizuri mpaka akaiva kufikia yeye kudai dyudyu,basi bila ajizi nikampenyezea na ikazama bila matatizo.Game ikaendelea na kiukweli mtoto anaweza shughuli hasa kutoa ushirikiano na miguno ya kimahaba.Baada ya dakika kati ya 5-6 yeye akawa amefikia climax na niliona hali ile,moyoni nilifurahi kumfunga moja bila.Si mnaelewa mechi ya kwanza ni ya lazima ukaze sana.Basi mi nikaendelea kusukuma gia wakati huu nikimbadili mkao,baada ya kama dk 2 nikahisi anaanza kuwa mkavu.Hali ile ikaendelea kwa takribani dk moja mpaka akaniambia anasikia maumivu huku akinisukuma,nikachomoka.Ikabidi tuanze tena romance ili hali ya umaji maji irejee,ilichukua kama 20 minutes kumuweka sawa na kurudi kwenye tendo.Wakati huu nikajitahidi kuweka concentration kubwa nimalize mapema ili hali ile isijirudie. Bahati nzuri dk chache baadaye nikawa nimefika lakini kwa tabu maana nilihisi anaanza tena kuwa mkavu.

Kiukweli hali hiyo imekuwa ikijirudia kila nikikutana naye,yaani yeye akishafika haimchukui dk 2 ashakuwa mkavu hivyo anahitaji kuandaliwa upya.Kinachonipa wakati mgumu ni kuchomoa na kuanza tena kumuandaa kwa dk si chini ya 15 wakati mimi mwili ushapata joto.Hali hiyo haijawahi tokea kwenye mahusiano yangu yaliyopita na inanipa tabu.Nilishazoea ukimuandaa mwenzako akawa tayari basi unapiga mpaka umalize,hata kama kuna romance hapo katikati si ile ndefu kama vile unamuandaa upya kwa tendo lingine.
kuna siku hali ile ilivyotokea nikamwambia afanye blow job lakini akakataa akasema hajawahi na wala hapendi kwani anahisi anaweza tapika.

kwa sasa hata hamu naye sina japo nampenda,mara nne zilizopita kaja home tumekaa fresh ila sijamgusa kabisa.Juzi kanitumia msg akihoji hali hiyo,kwamba anafika kwangu ila anaona sina hamu naye,mpaka anahisi nimepata mwingine.kiukweli nisipopata ufumbuzi wa hili naachana naye,napata tabu.
karibuni kwa ushauri,lugha nzuri itakuwa vema zaidi.
Tatizo lake dogo sana ndugu yaku,mwanamke kama huyo unapoona dalili ya ukavu unapaka mate,au tumia vilainishi vya mafuta kama key jelly atainjoy tu
 
Enzi za ujana wangu kuna mmoja alinijia na ky-jelly, nikahisi napewa tunda lililokatazwa, hadi nikaishiwa maneno. Kumbe mwenzangu alijua tatizo lake, she never used to get wet throughout (wengine tunapenda majiii).

Umeshaambiwa sababu, zifanyie kazi.
nimezifanyia kazi,nitakuja na updates soon
 
Jitahidi mkojoe wote.. Kama wewe unavyofika mdudu unasinyaa na huwez kuendelea pia sisi tukifika maji yanakata
Huoni kuwa nikilazimisha ndani ya hizo dakika kumaliza halafu hali hii ikaendelea nitakuwa najitengenezea tatizo la kudumu?Vp kama tusipokuwa wote mbeleni halafu nikaja kuwa mapenzini na mashine kubwa si nitashindwa kumfikisha kwasababu ya ulemavu niliojitengenezea?
 
Hakuna haja ya kufikiria kumuacha kwa tatizo dogo kama hili.

Ngoja nianze na visabishi vya tatizo

1. Matumizi ya madawa (medications) zipo aina za madawa ambazo kama mwanamke anazitumia kwa muda mrefu husababishi "lubrication" ya uke kupungua
Dawa za allergy na asthma ni miongoni mwa dawa zinazoathiri sana unyevu katika uke.

2. Sabuni, vipodozi ambavyo mwanamke anatumia. Kuna wanawake ambao wanapaka lotion mpaka kwenye maeneo ya uke ama kujipulizia marashi katika maeneo hayo. Imethibitika kwamba marashi asili huwa hayana madhara ila vipodozi vya viwandani na baadhi ya marashi ama lotion zina madhara ya kubadili uwezo wa uke kutengeneza vilainishi

3. Sababu za kisaikolojia, msongo wa mawazo na hofu. Kama mwanamke ana sumbuliwa na mawazo na hofu si rahisi kwake kuwa na uwezo wa kutengeneza vilainishi katika uke kwa kuwa msongo wa mawazo huathiri bashasha na hamu ya tendo na hivyo damu kutokwenda kwa wingi katika uke. Embu mchunguze na ujaribu kumdadisi inawezekana ana msongo wa mawazo au hofu ya jambo fulani, wanawake wengi wa Dar wanaathiriwa na madeni ya mikopo wanayokopa kila leo.

Nini kifanyike

1. Abadilishe vipodozi/sabuni anavotumia ama kitu chochote anachopaka katika uke.
Hapa angalia sana kuhusu sabuni anazotumia kuogea, wengi wanatumia medicated soap kunawia na kujisafishia uke, hii hubadili hali ya uke na mfumo wake wa kujisafisha na kutoa vilainishi.

2. Hakikisha hana msongo wa mawazo na matatizo mengine ya kisaikolojia. Kama ni madeni msaidie kulipa, kama ni hali ya mahusiano onyesha kumjali na kumpa imani kuwa unampenda sio maneno matupu, mtangazie hata ndoa sio mnafanya tendo la ndoa pasipo ndoa na huonyeshi hata dalili za kutaka kuoa.

3. Chunguza kama anatumia dawa yoyote ya allergy au kama anatumia dawa za asthma. Sasa hapa si kumshauri kuacha lakini awe na matumizi sahihi yasiyo endelevu

Nikutakie siku njema.
Samahani mkuu,pia asante kwa maelezo yako.

Kuna uzi,niliuweka kuomba msaada lakini umetolewa na wahusika nahisi.

Mdogo wangu(sio wa damu) ila ni rafiki yangu kaoa.ndoa ina siku mbili,lakini anasema siku ya kwanza hakwenda hata dakika 5,japo hakuendelea lakini alijihisi bado ananguvu.siku ya pili hakufika hata dakika mbili na hakuwa na uwezo wa kuendelea tena.
Sikua na jibu la kumpa akatulia.

Tatizo lake ni nini?
Na afanye nini ili awe sawa?
Maana sasa ni kama kachanganyikiwa!

Msaada tafadhali kutoka kwa yeyote pia!
 
Back
Top Bottom