Hali hii inantesa Nisaidieni plz

Hali hii inantesa Nisaidieni plz

Ah mm hiz mambo bwana...labda sikueleweka...nilishangaa nikaeema unafanyaje .sikutaja kujua huko..ila nilomaanisha inawezwkanaje kw ufanye hvo...wanaume wengi mbn hawa..anywsy am sorry
Oooh basi sikukuelewa, nilidhani labda hujui inafanyikaje, kumbe unajua [emoji3][emoji3]. Ni addiction mbaya hiyo sometimes haina uhusiano na kukosa mwanaume
 
[emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
images%20(2).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF
Mimi nimekua muhanga wa kujichua mara kwa mara, Nikiwa namtuu hii hali inapungua but nikiwa single basi kwa wiki naeza jichua ata mara 4 au ata 5. Natamani kuachana na hii hali. Nahisi inani haribu psychologicaly. Sifahamu kamakuna madhara mengine ninayoyapata kutokana na hii hali.

Naombeni mnijuze ama unamadhara mengine nayoweza kupata kutokana na hii hali. Na je nifanyaje niweze kuacha hii tabia. please advise🙄
Njoo PM please
 
Angalia Mimba na magonjwa maambukizi wanaume wanastress wewe hujui tu kuwa na mpenzi mmoja au wawili sio shida shida ni stress zao mara ukimtaka unaenda bila taarifa unamkuta na bibie unapigwa au unapiga .
Ndio hivyo labda uwanunue tu ukiwahitaji unawapima unawatumia unawapa nauli .
Au ukiwahitaji unawapima unawatumia unakata mazoea ila mahusiano ya jumla dah wanakera
 
Kikubwa na uangaliaji wa picha za pornography.Trust me 98% ya waangaliaji wa porn huwa wana attempt masterbation.Na 100% ya wanaojichua wote wanaangalia porn.

So hatua muhimu hapo ni kuachana na matumizi ya picha za porn!!
HOW????
1. Kama unazo kwenye cm au oc DELETE zote.
2.kama unazo in form of CDS au DVDS tupa zote usikae nazo ndani...

3.Kubwa zaid ni KUEPUKA MATUMIZI YA INTERNET UKIWA ALONE.limit sana ku subacribe internet bundle kama huna cha lazima sana kufanya.Kwenye internet ndio kambi rasmi ya picha za ngono so uki visit mtandaon bila kuwa na ishuya lazima sana kama ww ni mraibu wa hizo mambo utajikuta tu usha search zle www. .com bila kupenda.
SO PENDA KUTUMUMIA KAMA NI LAPTOP KWE YE MAZINGIRA AMBAYO HAUKO PEKE YAKO. Jkifanikiwa kuinyima simu yako internet muda muda mwing inaweza ikakusaidia.

4.EPUKA SANA STORY KWENYE VIGENGE AU FORUM zinazohus mapenz sana.JUKWAA KAMA MMU kwako sio salama sana.
Maana ukianza kuacha hiz tabia inapaswa kuji engage kwenye mambo mbadala LIKE KAZI SANA..KUSOMA SANA..vitu vitakavyoichosha sana MIND YAKO au vile vitakvyoi KEEP BUSY mind yako.

NB:
kushauri au kushauriwa ni kazi rahis sanaa lakin kutekeleza ni kazi ila AMUA
 
Back
Top Bottom