Hali hii inantesa Nisaidieni plz

Hali hii inantesa Nisaidieni plz

Habari zenu wana JF
Mimi nimekua muhanga wa kujichua mara kwa mara, Nikiwa namtuu hii hali inapungua but nikiwa single basi kwa wiki naeza jichua ata mara 4 au ata 5. Natamani kuachana na hii hali. Nahisi inani haribu psychologicaly. Sifahamu kamakuna madhara mengine ninayoyapata kutokana na hii hali.

Naombeni mnijuze ama unamadhara mengine nayoweza kupata kutokana na hii hali. Na je nifanyaje niweze kuacha hii tabia. please advise🙄
Ndugu,
Kama hufurahishi genge ha hiyo tabia ikikomaa utapata tabu sana ktk mahusiano na ndoa.
Fanya hima kuepuka. Tafuta shughuli mbadala kuepuka hilo tatizo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ndugu,
Kama hufurahishi genge ha hiyo tabia ikikomaa utapata tabu sana ktk mahusiano na ndoa.
Fanya hima kuepuka. Tafuta shughuli mbadala kuepuka hilo tatizo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
siwezi furahisha genge na kitusenstive kama hiyo🥴
 
siwezi furahisha genge na kitusenstive kama hiyo[emoji3061]
Ok, nimekupata. Tafuta utaratibu lakini jambo la kwanza achana na kutizama watu wengine wakiwa uchi ktk simu au TV.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ha haaa ninachoshangaa ni kwamba hujui inafanywa vipi..yaani hujawahi sikia au kusoma sehemu?

Ah mm hiz mambo bwana...labda sikueleweka...nilishangaa nikaeema unafanyaje .sikutaja kujua huko..ila nilomaanisha inawezwkanaje kw ufanye hvo...wanaume wengi mbn hawa..anywsy am sorry
 
Kuna wadada watakuja kwenye huu uzi nakujifanya hawajui lolote kuhusu mada ya mtoa mada wapuuuzieni na wao Ni miongoni kwao...

Narudi kusoma comments Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mwanaume ....
Hilo ndio suluhisho. Ukiwa na mtu anayekupenda na mkashiriki tendo kisawasawa hayo mawazo ya kucheki porn na kujichua yatakata yote..

Hilo ndio suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF
Mimi nimekua muhanga wa kujichua mara kwa mara, Nikiwa namtuu hii hali inapungua but nikiwa single basi kwa wiki naeza jichua ata mara 4 au ata 5. Natamani kuachana na hii hali. Nahisi inani haribu psychologicaly. Sifahamu kamakuna madhara mengine ninayoyapata kutokana na hii hali.

Naombeni mnijuze ama unamadhara mengine nayoweza kupata kutokana na hii hali. Na je nifanyaje niweze kuacha hii tabia. please advise🙄
Mimi nina mboooo itakufaaa sana kuondokana na hilo tatizo lako.
 
Amua kuacha pia kama unatabia za kuangalia zile picha/video za blue basi fanya uache mara moja.
Habari zenu wana JF
Mimi nimekua muhanga wa kujichua mara kwa mara, Nikiwa namtuu hii hali inapungua but nikiwa single basi kwa wiki naeza jichua ata mara 4 au ata 5. Natamani kuachana na hii hali. Nahisi inani haribu psychologicaly. Sifahamu kamakuna madhara mengine ninayoyapata kutokana na hii hali.

Naombeni mnijuze ama unamadhara mengine nayoweza kupata kutokana na hii hali. Na je nifanyaje niweze kuacha hii tabia. please advise🙄

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nikitaka kuona ajabu sana yaani mana majuxi ulileta uzi kwamba hupati wanaume wa rika lako na ulitaja sababu kwamba wewe unapenda kuwa ndani,kukaa ndani hupendi kujichanganya kabisa,nikasema kwa siri huyu anakaa ndani mpweke anaepukaje hii tabia,nikanyamaa kimya tu sikutaka kukera.ila ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watu wapweke ni wahanga wa hizo ishu.

Labda kwa ushauri zaidi unaweza kuja PM.
NB: nikikutongoza na kukuomba pesa nakuruhusu unifungulie uxi useme hadharani.

Ila nimeazimu uje PM nikupe ushauri wangu ambao utachukua mda kidogo na nina imani itakusaidia.

Hapa utalose concentration kabisa na kila mtu anasema lake.

Kama hautojali karibu PM yangu.

Sijapatapo kumkaribisha mtu PM ila watu wawili tu.

Mother Confessor na wewe Young-Ma
Jisikie mwenye bahati sana na ufahari.

Punyeto ni changamoto ambayo wanapitia watu mahiri ili waje kuwa waalimu wa kuwafundisha wenzao namna ya kuacha kwa sababu wao walipitia.
 
Back
Top Bottom