Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Mtaani biashara imekuwa ngumu! Mifuko ya kufungia bidhaa imekuwa ngumu kutokana na bei ya mifuko mbadala.
Wafanyabiashara wamekuwa wagumu kutumia mifuko mbadala kuwafungia wateja wao, kinachotokea ni MALUMBANO kati ya mteja na mfanya biashara. Ukitaka akufungie kwenye mifuko mbadala, anapandisha bei ya bidhaa.
Wanatumia magazeti hadi kwenye bucha, mteja usipoenda na hotpot au kikontena cha plastik, utashindwa kuhemea utumbo.
Bei ya mifuko hiyo inatofautiana, huku mtaani bei ni 200, 300,500, 700, 1000 kulingana na ukubwa wa mfuko.