Hali halis ya depo la jwtz

Hali halis ya depo la jwtz

safi mkuu tumekusoma physicaly fit kwanza ndo mpango mtoto wa kiume hachagui kambi
 
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni jambo jema pia kwa kutupa taarifa ni msaada vile vile

usiogope kijana mazoezi si magumu sana..mimi kuna zoezi moja linaitwa "mapenzi ya nyoka" hili ni tamu sana maana mnakumbatiana na mwenzako alafu mnaanza kuviringika sasa utamu unakuja kama umepangiwa kufanya na jinsia tofauti basi unaweza maliza mambo yako hapo hapo hahahahaha:msela:
 
Jaman eeh imefika wakati watanzania tuache uzumbukuku na upumbave usio na kichwa wala mkia yani kuwaelezea watanzania wenzako jinsi jeshi linavyo waandaa wanajeshi wa tanzania mtu unasema ni siri za serikali? Mbona world faza aka USA mpaka mafunzo ya ufield marshal anayaweka mtandaoni ili vilaza sisi 3rd world countr na bado hatujifunzi, emu mwenye kujua atuabarishe,
 
Jaman eeh imefika wakati watanzania tuache uzumbukuku na upumbavu usio na kichwa wala mkia yani kuwaelezea watanzania wenzako jinsi jeshi linavyo waandaa wanajeshi wa tanzania mtu unasema ni siri za serikali? Mbona world faza aka USA mpaka mafunzo ya ufield marshal anayaweka mtandaoni ili vilaza sisi 3rd world countr na bado hatujifunzi, emu mwenye kujua atuabarishe,
 
tafuta kanda inayoitwa full metal jacket utapata picha treatment ya makuruta ikoje..
 
Vyovyote itakavokua. Tutaenda tu. Sio kwakua tuna wito. Tunatafuta ajira.
 
Jeshi sio kazi ya kuramba stamp,
Jeshi limemshinda mbwa.
 
Swala sio kuwa mwanaume au mwanamke swala ni kupata pre information ambazo zitatusaidia sisi kuweza kuhandle program za depo emu achen mambo ya ajab sio necessar saana kuchangia kama huna point ya msingi ya kuchangia it beta ubaki kimyaa
 
Back
Top Bottom