Utatakiwa ukalie sindano mbili za kushonea majamvi na hakikisha zisizame mat*koni!. Hii ni kukuzoesha ukakamavu.
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni jambo jema pia kwa kutupa taarifa ni msaada vile vile
hakuna askar yeyote atakaekuambia kuhuau training za jesh zikoje.kama umeamua kwenda huko kubaliana na yote utakayokutana nayo.huwezi ukaweka hadharani namna unavyoa ndaa askar wako. kwel kabsaa
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni jambo jema pia kwa kutupa taarifa ni msaada vile vile
Mkuu kwa jeshi wameita watu au?...tuelewe kwanza hilo
Kaka umeshachinjiwa Baharini, hiyo inaitwa kimyakimya
Kwa yeyote mwenye uzoefu jeshin au mwenye taarifa za depo la jwtz linakuwaje tunaomba atujuze ili tuweze kujiandaa mapema tusije tukashindwa huko maporini tutakako pelekwa plz kumsaidia mtu ni jambo jema pia kwa kutupa taarifa ni msaada vile vile
Arno...nieleweshe kiongozi hawa jamaa wameshaita watu au niaje...sielewielewi jamani nielewesheni yafadhal coz na mm nasubili kwa hamu hz nafasi...
braza just imagine umeelekezwa hapa hayo ukajiandaa ukaenda huko ukakuta siyo yenyewe utaondoka? jiandae na yote hata ukiambiwa upite kwny mtaro wa kinyesi cha nguruwe..na usomi utagoma? na ushaamua kwenda. cha muhimu tafuta pumzi
Sijakuelewa mtu wangu fafanua kiongizi.
we vp...mbona kilaza ivo...hujaelewa nn?