Hali CHADEMA Simanjiro ni tete ufisadi wa kutisha.

Hichi chama kinaelekea kaburini, CCM oyeeeee!!!!!!!!

naona mnatekeleza maamuzi ya mkutano mkuu kwa nguvu sana. cdm haiwezi kamwe kufa hivyo asilani. propaganda hizo hazisaidii kitu kuwarudisha kwenye ramani. wabongo wa sasa sio wa zamani wa zidumu fikra za mwenyekiti., tehe tehe.
 
By KASHOROBANA<br />
JAMANI WANACHADEMA WALA MSITETELEKE, CCM NI WAPUMBAFU KUPITA KIASI, WANATUMIA ELA NYING SANA KTK MAGAZETI, MITANDAO NK ATI KUICHAFUA CHADEMA, IVI AFRIKA II KUNA CHAMA FISADI KM CCM? WAMESHINDWA KUJIBU KASHFA ZOTE ZA EPA, PEMBE ZA TEMBO, UTOROSHAJ WA WANYAMA NA WAMEGEUKIA CDM, WHY NOT CUF OR NCCR etc? JIBU NI KUWA CHADEMA NI THREAT KWAO, TUSITETELEKE MAGAMBA WATWAMBIE KISA CHA KUMPA UKATIBU MKUU JANGILI KINANA PIA M/MWENYEKITI FISADI MKUU WA EPA MANGULA, ATA MSEKWA ALISHIRIKI UTOROSHAJI WA WANYAMA, RIDHIWAN MUUZA UNGA, WAYAJIB AYA NDO TUTAWAAMINI, WALA HATUKATI TAMAA MWOKOZ WETU NI CHADEMA TU
<br />
Mkuu umemaliza kila kitu,hongera sana kwa uchambuzi wako yakinifu!
Hata hilo tusi ni uchambuzi yakinifu? binafsi ningempa 60%
 
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. Wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa CHADEMA anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya CHADEMA wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona CHADEMA inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka Millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani Tobiko CCM.
Sasa ninyi magamba ndio wagonjwa kweli. Sasa kati ya Chadema na ninyi ni nani wanaoonyesha kuchukia ufisadi. Hebu angalia hii tofauti hapo penye red: Chadema wanatumia polisi kuhakikisha kwamba wanaotuhumiwa wanachukuliwa hatua wakati ninyi mliotaka kuwavua gamba wamewashinda na sasa mnawalamba miguu. Pili, mikopo mnayotoa kama chama ni rushwa tu yenye lengo la kuwanunua hao walala hoi ili wawapigie kura 2015. Hapo hakuna cha ilani wala nini, ni aina nyingine ya kuwahonga na kuwanunua wananchi ili wawachague. Kama kweli mlikuwa mnawajali wachimbaji wadogo, mlikuwa wapi muda wote kuwawezesha? Na badala yake mliamua kushirikiana na wawekezaji katika mikataba ya kinyonyaji na kuwapuuza wachimbaji wadogo. Pale walipoonyesha kuandamana kudai haki zao mlitumia polisi kuwapiga, halafu eti leo kuelekea 2015 baada ya maji kuzidi unga, mmeanza kuwanunua. Na ole wetu watanzania tukikubali kununuliwa na chama hiki cha kifisadi. Baada ya 2015 tutalia na kusaga meno, maana watahakikisha fedha zao zote walizozitumia kutununua wanazirejesha tena na riba isiyopimika.
 
Si viongozi wa ccm tu ni vilaza bali hata wapambe na wanachama wake pia ni vilaza, hivi ungekuwa na akili si ungeuzumzia ufisadi wa ccm na serikali yake ili muwaaminishe watu kuwa mmeamua kuacha wizi ujambazi na dharau ya kuwaona watanzania ni wajinga
 
Mimi nafikiri hata iwezeje CDM Bado ni chama makini. Ingawaje kinahujumiwa saaaana lakini niwape hongera viongozi wake because they are visionary leaders na wanajitahidi sana kukilinda chama tofauti na CUF walitumiwa wakatumika na wakasambaratika. I like the way CDM operates katika nchi yenye mfumo kama huu wa vyama vingi, mfumo ambao si wa kidemocrasia zaidi. Big up CDM, tell other political parties to follow your steps, and strongness and you will be a father of many political parties in Tanganyika, Zanzibar and Tanzania as a whole. I still love you much CDM!!!
 
Ole, Wenzako kuanzia nov, 2012 hadi nov 2012 wameahidiwa milioni 1 na kupewa chakula, maji na nauli, wewe umeahidiwa nini?.
 
UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa CHADEMA anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya CHADEMA wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona CHADEMA inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka Millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani Tobiko CCM.
Mimi nilidhani kuna bil 385 Uswis zimegunduliwa za viongozi wa CDM Simanjiro.. kumbe mil 8 za ujenzi wa ofisi ya chama? Si kwamba naunga mkono wizi huo ila nimeshangazwa na heading yako sijui kama uliwahi kushadadia ufisadi wa EPA au Import Support au hizi za sasa zinazosemekana zipo Uswis kwa kiwango hiki cha sh miloni 8...!?
 
Mimi nafikiri hata iwezeje CDM Bado ni chama makini. Ingawaje kinahujumiwa saaaana lakini niwape hongera viongozi wake because they are visionary leaders na wanajitahidi sana kukilinda chama tofauti na CUF walitumiwa wakatumika na wakasambaratika. I like the way CDM operates katika nchi yenye mfumo kama huu wa vyama vingi, mfumo ambao si wa kidemocrasia zaidi. Big up CDM, tell other political parties to follow your steps, and strongness and you will be a father of many political parties in Tanganyika, Zanzibar and Tanzania as a whole. I still love you much CDM!!!

Hizi taarifa za uzushi mtupu Millya yuko Namibia na Mimi niko hapa Arusha, bado hata atujaamua kujenga Ofisi ya Chadema sehemu wilayani Simanjiro, huyu anaweza kuwa Olesendeka baada ya kushindwa kuongea na wananchi wake Kila anapokwenda anazomewa, ameona sisi ndo wachawi wake, anafikiri atatuweza Kwa kutupaka metope mitandaoni.
Nakanusha vikali taarifa hizi ni uzushi mtupu, na nawaomba mods huyu Olesendeka au kibaraka wake ale ban, kwa kutuzushia taarifa za uongo.
 
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. Wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa CHADEMA anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya CHADEMA wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona CHADEMA inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka Millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani Tobiko CCM.

uende shule kwanza sawa? Ukija na tread yako juzi umemuongelea Olemilya vs Sendeka leo umekuja na umbea mwingine ! Sasa kwa taarifa yako tumekupata mnagawana rushwa mnajidai nimtaji wa kununua madini! Ni mkopo upi huo ambao hauko wazi?
Wtz sio kuku wanaotegwa na mahindi na mchele! Jipange
 
JAMANI WANACHADEMA WALA MSITETELEKE, CCM NI WAPUMBAFU KUPITA KIASI, WANATUMIA ELA NYING SANA KTK MAGAZETI, MITANDAO NK ATI KUICHAFUA CHADEMA, IVI AFRIKA II KUNA CHAMA FISADI KM CCM? WAMESHINDWA KUJIBU KASHFA ZOTE ZA EPA, PEMBE ZA TEMBO, UTOROSHAJ WA WANYAMA NA WAMEGEUKIA CDM, WHY NOT CUF OR NCCR etc? JIBU NI KUWA CHADEMA NI THREAT KWAO, TUSITETELEKE MAGAMBA WATWAMBIE KISA CHA KUMPA UKATIBU MKUU JANGILI KINANA PIA M/MWENYEKITI FISADI MKUU WA EPA MANGULA, ATA MSEKWA ALISHIRIKI UTOROSHAJI WA WANYAMA, RIDHIWAN MUUZA UNGA, WAYAJIB AYA NDO TUTAWAAMINI, WALA HATUKATI TAMAA MWOKOZ WETU NI CHADEMA TU

Mkuu kutotetereka ni vigumu hasa ukizingatia kwenye Chama kila siku ni ugomvi, kutoaminiana na taarifa za ufisadi, wananchi waliingia huku wakitaraji mbadala wa CCM lakini wapi, inasikitisha
 
Ujinga mtupu kutumia mbinu za karne ya 19 kujaribu kuwahadaa watu wenye akili zao. Jamani Ccm watanzania hawadanganyiki kihivyo. Poleni najua mnaonja joto kale la CHADEMA ndiyo maana haipiti siku bila kukitaja. Mlifikiri T
 
Ujinga mtupu kutumia mbinu za karne ya 19 kujaribu kuwahadaa watu wenye akili zao. Jamani Ccm, watanzania hawadanganyiki kihivyo. Poleni najua mnaonja joto kalI la CHADEMA ndiyo maana haipiti siku bila kukitaja.
 
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa kutisha. Wakati makamanda wakitafutana kwa polisi sisi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi, juzi tulikutana na wapiga kura vijana wa simanjiro wanaofanya biashara ya madini ya Tanzanite, tumewapa mikopo yenye garama nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi,

UFISADI WA CHADEMA

kamanda mmoja wa CHADEMA anayejulikana kwa jina Oleleshwa anatafutwa na rafiki yake wa karibu sana Millya kwa kutoroka na hela za ujenzi wa ofisi ya CHADEMA wilayani hapa, kamanda Oleleshwa anatuhumiwa kukimbia na hizo hela baada ya kuona CHADEMA inakufa akaamuua kujiponyesha angalau na hizo millioni nane hali ya makamanda wengine ni tete kamanda mmoja anaitwa Gidion Sanago wametandikana ngumi leo na Olemillya mpaka Millya sasa yuko hosipitali; tumeanza kuwarudisha vijana wetu waliopotea njia kurudi nyumbani Tobiko CCM.
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????
 
Join Date : 7th December 2012
Posts : 14
Rep Power : 303
Likes Received4
Likes Given1

Kumbe Mtu mwenyewe kajiunga Juzi tu, naona anajifunza kuandika Thread
 
Sasa ninyi magamba ndio wagonjwa kweli. Sasa kati ya Chadema na ninyi ni nani wanaoonyesha kuchukia ufisadi. Hebu angalia hii tofauti hapo penye red: Chadema wanatumia polisi kuhakikisha kwamba wanaotuhumiwa wanachukuliwa hatua wakati ninyi mliotaka kuwavua gamba wamewashinda na sasa mnawalamba miguu. Pili, mikopo mnayotoa kama chama ni rushwa tu yenye lengo la kuwanunua hao walala hoi ili wawapigie kura 2015. Hapo hakuna cha ilani wala nini, ni aina nyingine ya kuwahonga na kuwanunua wananchi ili wawachague. Kama kweli mlikuwa mnawajali wachimbaji wadogo, mlikuwa wapi muda wote kuwawezesha? Na badala yake mliamua kushirikiana na wawekezaji katika mikataba ya kinyonyaji na kuwapuuza wachimbaji wadogo. Pale walipoonyesha kuandamana kudai haki zao mlitumia polisi kuwapiga, halafu eti leo kuelekea 2015 baada ya maji kuzidi unga, mmeanza kuwanunua. Na ole wetu watanzania tukikubali kununuliwa na chama hiki cha kifisadi. Baada ya 2015 tutalia na kusaga meno, maana watahakikisha fedha zao zote walizozitumia kutununua wanazirejesha tena na riba isiyopimika.
mkuu naunga mkono hoja!
 
Hizi taarifa za uzushi mtupu Millya yuko Namibia na Mimi niko hapa Arusha, bado hata atujaamua kujenga Ofisi ya Chadema sehemu wilayani Simanjiro, huyu anaweza kuwa Olesendeka baada ya kushindwa kuongea na wananchi wake Kila anapokwenda anazomewa, ameona sisi ndo wachawi wake, anafikiri atatuweza Kwa kutupaka metope mitandaoni.
Nakanusha vikali taarifa hizi ni uzushi mtupu, na nawaomba mods huyu Olesendeka au kibaraka wake ale ban, kwa kutuzushia taarifa za uongo.

Asante kamanda kwa kuweka sawa jambo hili.Naunga mkono hoja ya kupiga ban huyo ole sendeka.
 
We ni gamba tu tafuta wazee wa vijijini ukawadanganye sio huku! Tumeshawastukia na hatutaki kuendelea kuona mashimo yasiyotufaidisha wananchi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom