vulugu = vurugu
Du nchi iko kwenye dyanamic
Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
Na hayo yanayoongozwa na ccm ambayo uzalshaj unaendelea yana nini kipya? Kuna maendeleo? Usitumie spinal cord kuwaza. Kilaza wewe....
Nimeongea na watu wa Mbeya sasa hivi, wananiambia hakuna lolote huko, wleta fujo wamedhibitiwa, FFU na polisi wanazunguka zunguka mitaani na magari yao na ukionekana unaashiria fujo unakula mkong'ong'oto na kutupiwa nyuma gari ukajieleza mbele ya safari.
Na vikosi vingine vinaelekea huko, haya tokeni ndani mbona mnajificha? si wajanja nyie?
Mmepata fundisho watu wakiamua wanaweza fanya chochote, kama wanauwezo si wangedhibiti ujambazi? majambazi wamewashinda sasa watu wakiamua wataweza? msg sent kwa serikali ya sisiemu kwamba sasa wamechoka na maisha haya. Zamani vurugu zilikuwa zinafanywa na wanafunzi tu lakni siku hizi hata watu nao hawaogopi kabisa. Maana jamaa wamechanganyikiwa mpaka wamepiga bomu la machozi zahanati.
Wewe ndo utajificha jana ulikuwa kimyaaaaaa?
Yule waziri wa uingereza mwenye jina linaloishia na Cameron ana wafuasi hapa nchini. Mwone vile hata haya huoni.
akili zako wewe zinakutosha mwenyewe!
CCM na serikali yake wanataka kutuletea balaa ya vita ktk nchi yetu bila sababu. Amani siku zote ni tunda la haki, bila haki hakuna amani. wananchi wa Mbeya wanatafuta haki yao.