Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!Utabidi uzoee tu mbona SODA ilitoka 250 hadi 600
utakuwa umenunua magwangala ya sukari wewe.Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
2300/=kutoka 1800/=Kwani bei elekezi ilisema 2500?
Hakuna anaye zoea shidaUtabidi uzoee tu mbona SODA ilitoka 250 hadi 600
Wacha kudanganya watu kwani bei elekezi ni sh 2300/=huyo muuzaji kaiokota hiyo sukari?Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
Teeeeeeh teeeeehutakuwa umenunua magwangala ya sukari wewe.
Hahaaa mkuu, umenifurahisha ulivyoifatilia hiyo mia mbili!wakubwa wa kazi. sukari kama dola ya marekani tu. ina flactuate inavotaka. ina-spini inavyopenda. ili mradi tu tuisome namba.
baada ya kufika kazini na kugundua muajiri bado hajanunua sukari kwa ajili ya wafanyakazi wake nikaona isiwe tabu. ngoja nijikune mwenyewe. nikatoa 3000 nikaagiza rafiki akaniletee sukari. hapo hapo nikiamini chenji haikosi kuwa 600 ambapo nitapata maandazi matatu kwa Mama Kemia (watu wa Iyunga Tech mnamkumbuka huyu mama?)
majibu ya niliyemtuma ni kama mnavoona hiyo attachment.
View attachment 375773
Inategemea ntu na ntu Mkuu.Mimi mwenye nahitaji sana kwa hio bei ya 2200/= Nitanunua walau kilo kumi maana kwa bei hii ambayo haieleweki leo inapanda kesho inashuka lazima tuwe na huu utamu wa kutosha ndani.Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
hivi ile sukari aliyosema ataigawa bure Tz nzima nyie mmepata mgao?
Mkuu hongera kwa kununua sukari bei hiyo kwani Hapa nilipo ni wilayani tena ndipo alipotokea kiongozi mkubwa tu wa nchi hii ambae yupo Kwenye operation ya tumbua majipu.Acheni propaganda za uchinvi jana nimenunua sukari dukani pale soko la kilombero tena ta TPC bei Tshs. 2200.00, niliuliza bei ya kigunia cha kilo hamsini nikaambiwa ni Tsh. 110,000.00 wewe umetapeliwa!!!!
Serikali ya Huyu mheshimiwa ni ya AHADIhivi ile sukari aliyosema ataigawa bure Tz nzima nyie mmepata mgao?
Acha unafiki mfalme alituambia...tena mkaja huku mkifurahi alisema sukari atakayo kamata itagawiwa bure...au unamasikio tenge nn ??Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
Ni wapi ilitamkwa kuwa sukari itagawiwa bure Tanzania nzima?? Ni nani alisema hivyo??!!! Mbona mnaleta mnasambaza propaganda zisizo na maana???
utakuwa umenunua magwangala ya sukari wewe.