HALELUYA! Amu aachiwa!!

Doooh maana jinsi unavyoandika nikajua ni arafat ngumi jiwe baunsa wa dully sykes kaja kupoteza stress CC,,usishangae humu kuna wazito wengi wanakuja kutoa stress


Hahahahahaha!
Mkuu mimi ni mh CHAI CHUNGU kiboko ya warembo.
 
amu how are you? Miss you! Welcome back!
 
Last edited by a moderator:
yale maneno ya ile talaka futa kabisa
zile thread zilizonipeleka selo kwa nusu saa mbona sizioni!!

amu vipi ulifanikiwa kuonana na Baba V !?? vipi anaendeleaje huko!?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu mchana aliingia na kuleta thread anajiita Amsterdam kutuhumu chitchat kuwa wanajali mapenzi,sasa tukaanza kumjibu vibaya,na amu akiwemo nae cjui kilichotokea ila nilikujakuona thread ya kutoa taarifa kuwa jamaa kawekwa sero, basi tukaungana thread nyingine kuomba mods wamuachie amu na wamuathibu Amsterdam ambaye ndiye aliyeanzisha mtafaruku, hicho ndicho nnachokijua
 
Nifanyeje na mm ili niende selo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…