PostGE2025 Hakutakuwa na CCM baada ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
696
Reaction score
1,533
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani.

Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona. Kuna kitu kinaitwa natural power ambayo kila binadamu anayo.

Ni nguvu kubwa sana ambayo Mungu ametupa kuona mambo ya mbele (yajayo) kabla hata wakati wake haujafika.

Hii kitu ya CCM kutokuwepo niliiona kipindi cha nyuma ila nikaipuuzia na nilikuwa nimesahau kama niliiona ila jana ilikuja kwa kunikumbusha (sio kwa kuona tena maana nilishaiona ila nikapuuzia) tena kuwa ulichokiona kinakuja.

Niliona maisha mazuri sana baada ya ccm. Wananchi wanaishi kwa furaha, ardhi ina majani mabichi ya kijani na miti iliyostawi vizuri ya kupendeza. Nilikuwa natembea kwenye barabara nzuri za kuvutia.

Kuna watu watasema naenda na upepo, watanikejeli kwa kuniuliza kwa nini hukusema mapema kabla ya maandamano ya 29 October 2025.

Jibu ni kwamba, kama nilivyowaambia hii kitu nilionyeshwa ila nikaipuuza na hata sikumbuki ni lini nilionyweshwa ila jana nimekumbushwa tena ndio maana nimeamua kuileta hapa.

Nawatakia maisha mazuri baada ya December 9, 2025.
 
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani. Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona. Kuna kitu kinaitwa natural power ambayo kila binadamu anayo. Ni nguvu kubwa sana ambayo Mungu ametupa kuona mambo ya mbele (yajayo) kabla hata wakati wake haujafika. Hii kitu ya CCM kutokuwepo niliiona kipindi cha nyuma ila nikaipuuzia na nilikuwa nimesahau kama niliiona ila jana ilikuja kwa kunikumbusha (sio kwa kuona tena maana nilishaiona ila nikapuuzia) tena kuwa ulichokiona kinakuja.

Niliona maisha mazuri sana baada ya ccm. Wananchi wanaishi kwa furaha, ardhi ina majani mabichi ya kijani na miti iliyostawi vizuri ya kupendeza. Nilikuwa natembea kwenye barabara nzuri za kuvutia.

Kuna watu watasema naenda na upepo, watanikejeli kwa kuniuliza kwa nini hukusema mapema kabla ya maandamano ya 29 October 2025. Jibu ni kwamba, kama nilivyowaambia hii kitu nilionyeshwa ila nikaipuuza na hata sikumbuki ni lini nilionyweshwa ila jana nimekumbushwa tena ndio maana nimeamua kuileta hapa.

Nawatakia maisha mazuri baada ya December 9, 2025.
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani.

Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona. Kuna kitu kinaitwa natural power ambayo kila binadamu anayo.

Ni nguvu kubwa sana ambayo Mungu ametupa kuona mambo ya mbele (yajayo) kabla hata wakati wake haujafika.

Hii kitu ya CCM kutokuwepo niliiona kipindi cha nyuma ila nikaipuuzia na nilikuwa nimesahau kama niliiona ila jana ilikuja kwa kunikumbusha (sio kwa kuona tena maana nilishaiona ila nikapuuzia) tena kuwa ulichokiona kinakuja.

Niliona maisha mazuri sana baada ya ccm. Wananchi wanaishi kwa furaha, ardhi ina majani mabichi ya kijani na miti iliyostawi vizuri ya kupendeza. Nilikuwa natembea kwenye barabara nzuri za kuvutia.

Kuna watu watasema naenda na upepo, watanikejeli kwa kuniuliza kwa nini hukusema mapema kabla ya maandamano ya 29 October 2025.

Jibu ni kwamba, kama nilivyowaambia hii kitu nilionyeshwa ila nikaipuuza na hata sikumbuki ni lini nilionyweshwa ila jana nimekumbushwa tena ndio maana nimeamua kuileta hapa.

Nawatakia maisha mazuri baada ya December 9, 2025.
AMINA KUBWAAAA!
 
chama kitazidi kuwepo milele kikibeba jukumu lake la kila siku kuwavusha watanzania kila kipindi

kazi na utu ndio msingi kwa sasa.,chama cha mapinduzi kidumu milele kizazi hadi kizazi
 
Tukutane baada ya 9 December 2025
 
Back
Top Bottom