PostGE2025 Hakutakuwa na CCM baada ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Inabidi picha za marehemu zichapishwe ziwekwe kwenye mabango makubwa tutembee nazo barabarani hadi ikulu
 
Basi na ikawe kheri, na iwe kama ulivyoona.
 
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM madarakani.

Mimi sio nabii wala mtabiri ila hiki ninachowaambia nimekiona. Kuna kitu kinaitwa natural power ambayo kila binadamu anayo.

Ni nguvu kubwa sana ambayo Mungu ametupa kuona mambo ya mbele (yajayo) kabla hata wakati wake haujafika.

Hii kitu ya CCM kutokuwepo niliiona kipindi cha nyuma ila nikaipuuzia na nilikuwa nimesahau kama niliiona ila jana ilikuja kwa kunikumbusha (sio kwa kuona tena maana nilishaiona ila nikapuuzia) tena kuwa ulichokiona kinakuja.

Niliona maisha mazuri sana baada ya ccm. Wananchi wanaishi kwa furaha, ardhi ina majani mabichi ya kijani na miti iliyostawi vizuri ya kupendeza. Nilikuwa natembea kwenye barabara nzuri za kuvutia.

Kuna watu watasema naenda na upepo, watanikejeli kwa kuniuliza kwa nini hukusema mapema kabla ya maandamano ya 29 October 2025.

Jibu ni kwamba, kama nilivyowaambia hii kitu nilionyeshwa ila nikaipuuza na hata sikumbuki ni lini nilionyweshwa ila jana nimekumbushwa tena ndio maana nimeamua kuileta hapa.

Nawatakia maisha mazuri baada ya December 9, 2025.
Ndio matatizo ya kulala na njaa.Chunga mara nyingine usijinyee.
 
nkajua baada ua 29 kumbe mmesogeza mbele, apo saf
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom