HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
Wana JF! Habari za asubuhi. Nina rafiki yangu amekuja kwangu na tatizo dogo niliona bora nije huku kupata ushauri toka kwa wataalamu maana sijawahi deal na hili swala.
Rafiki na mume wake wamejaaliwa kupata mtoto wa kiume, ana miezi 7. Wote wakristo ila dhehebu tofauti. Baba alipeleka mtoto kwa wazazi (baba na mama wa baba) kuombewa wakati mama yuko kazini. Mama hakushirikishwa wala kuambiwa kuhusu hili jambo. Mama amekasirika. Baba alisema hakujua kwamba angetaka kushiriki, no big deal.
Swali: alifanya haki kutomshirikisha mkewe? Is it really not a big deal? Mimi si mtu wa kanisani sana (spiritual, not religious) kama dada na mmewe kwahiyo nimeona ngoja niwaulize wengine.
UPDATE!!
Mama amekuta mtoto ana alama za kuchanjwa mwilini wakati akimuogesha asubuhi. Baba hakusema lolote kuhusu hili. Inaendelea....