Hakushirikishwa!

Hakushirikishwa!

Hizo ni changamoto za ndoa, wakae pamoja waongee na waendelee na maisha. Walikubali kwa moyo mweupe kuishi katika ndoa yao takatifu katika shida na raha, kama hayo maombi ni yalitolewa kwa Mungu kuna shida gani, huenda mama hakuwa na nafasi siku hiyo na hata hivyo sii mwisho wa dunia, waendelee kuomba pamoja kwa ajili yao wenyewe na familia yao siku zote za maisha yao na kwa kufanya hivyo wataepuka tofauti zao na ni njia impendezayo Mungu wao.
 
so he says. Kumbuka dada hakuwepo, mtoto alirudi akiwa na kama majivu kwenye paji la uso. Is this a catholic thing ?
mimi ni very Catholic.....
hayo majivu huwa yanapakwa siku ya Juma5 ya majivu tu, tena kanisani siyo nyumbani kwa watu......
kama nimekosea hili naomba Elizabeth Dominic, Asprin, snowhite na Wakatolic wengine wanisaidie hapa
 
Last edited by a moderator:
Vitu vingine vina hitaji simple mind je kwa hiyo anahisi kuwa anaweza kumchagulia mwanae bad option kwa nn isizungumzwe kwa lugha laini tu yaishe.Kuhusu majivu yawezekana ilikuwa siku ya jumatano ya majivu au vyovyote vile ila yamepakwa kwa nia njema.Inaelekea ndoa yao ina uhadimu wa migogoro ndo maana huu mdogo unapewa nafasi.
kwa upande wangu sijui kama huu ni mgogoro mdogo kwa kweli.....
najiuliza haya maswali sana tu...
1. kwa nini baba aamue kumchukua mtoto nyumbani na kumpeleka kokote kule bila kumfahamisha mama mtoto? (hii nina maana hata kama baba kafika nyumbani anaamua kutoka na mtoto ni vizuri akampigia mkewe kumwambia kuwa natoka na mtoto tunaenda kutembea.
2. kama walienda kufanya maombi au mila, kwa nini mama asijuilishwe? ina maana hicho kitu kilikuja ghafla sana? kama ni kitu ambacho kilipangwa kwa nini mama mtu hakuambiwa in advance ili naye apange ratiba yake ahudhurie maombi ya mtoto? hata kama itashindikana kupanga ratiba zake basi angewaruhusu tu waendelee lakini akiwa anajua nini kinaendelea
3. hao wazazi kwa nini wasiende kufanyia hayo maombi nyumbani kwa mtoto? Mungu si yupo sehemu yoyote? labda waseme kwamba walienda kanisani au sijui wapi sehemu maalumu

Kiukweli mimi naona mume hakufanya sahihi kabisa kubeba mtoto kumpeleka huko walikoenda bila kumpa taarifa mkewe.
Hayo ni mawazo yangu
 
Sijajua hayo majivu kama ni ya kitu gani ila kama ni mkatoliki majivu hupakwa jumatano ya majivu kama ni ishara ya kuanza kwaresma
'
Nadhani huyo mama sio mkatoliki ndio maana amechukia,kuna kasumba ya madhehebu mengine kutokupenda ibada na taratibu za ki-Catholic,wao hudhani na kuamini ni za kipagani
'
Huyo dada alichochukia sio mtoto kuombewa bali kufanyiwa maombi ya kikatoliki ambayo kwake ni upagani
'
Tatizo ndo hilo!
 
so he says. Kumbuka dada hakuwepo, mtoto alirudi akiwa na kama majivu kwenye paji la uso. Is this a catholic thing ?

Na ndo maana sipendi kabisa mimi na mke wangu tuwe wa dini tofauti. Labda kama haikuwa jumatano ya majivu.
 
FP hivi ninapotaka kutoka na mtoto wangu ni mpaka nimjulishe mke wangu kuwa natoka nae?
'
This is insane,mtoto wangu mwenyewe halafu nitoe taarifa kwa nani?Labda hapo nyumbani kuwe hakuna mtu,kwanza mtoto mdogo hawezi kuachwa peke yake
'
Siombi ruhusa na taarifa sikupi,utapata taarifa kwa HG utakapotoka kazini!
 
ha haaa sijasema kuomba ruhusa, nimesema kutoa taarifa.
hivi ni vitu 2 tofauti.
huwezi kuniambia mkeo hana haki ya kujia muda gani mtoto wake yuko wapi?
huo ni ubabe usio na maana
 
alimpeleka kwenye maombi ya kanisani au ya kwenye matambiko???
 
@FP, hayo ndo maswali yote ambayo alikuwa anajiuliza, na si kitendo cha mtoto kuombewa. Main issue nihiyo ya kutojulishwa na mumewe. Yaani amerudi nyumbani hakukuta mtu ndo akapiga simu na kuambiwa wako kwa babu na bibi. Waliporudi ndo aliona kuna kitu usoni ndo akasema walikuwa wanamfanyia maombi. Ilikuwa si jumatano, yaani si Ash Wednesday. Kingine ni walikuwepo wote weekend kwanini hawakufanya yote hayo wakati alikuwepo?
Eiyer, si kila mtu mwenye housegirl. Kama unaweza kumuachia maagizo au ujumbe housegirl kwanini iwe shida kumuambia mkeo umeenda wapi na mtoto?

Na kama angekuwa anafikiri wakatoliki ni wapagani asingeolewa na mkatoliki. In short, you're missing the point and going off topic.

kwa upande wangu sijui kama huu ni mgogoro mdogo kwa kweli.....
najiuliza haya maswali sana tu...
1. kwa nini baba aamue kumchukua mtoto nyumbani na kumpeleka kokote kule bila kumfahamisha mama mtoto? (hii nina maana hata kama baba kafika nyumbani anaamua kutoka na mtoto ni vizuri akampigia mkewe kumwambia kuwa natoka na mtoto tunaenda kutembea.
2. kama walienda kufanya maombi au mila, kwa nini mama asijuilishwe? ina maana hicho kitu kilikuja ghafla sana? kama ni kitu ambacho kilipangwa kwa nini mama mtu hakuambiwa in advance ili naye apange ratiba yake ahudhurie maombi ya mtoto? hata kama itashindikana kupanga ratiba zake basi angewaruhusu tu waendelee lakini akiwa anajua nini kinaendelea
3. hao wazazi kwa nini wasiende kufanyia hayo maombi nyumbani kwa mtoto? Mungu si yupo sehemu yoyote? labda waseme kwamba walienda kanisani au sijui wapi sehemu maalumu

Kiukweli mimi naona mume hakufanya sahihi kabisa kubeba mtoto kumpeleka huko walikoenda bila kumpa taarifa mkewe.
Hayo ni mawazo yangu

Sijajua hayo majivu kama ni ya kitu gani ila kama ni mkatoliki majivu hupakwa jumatano ya majivu kama ni ishara ya kuanza kwaresma
'
Nadhani huyo mama sio mkatoliki ndio maana amechukia,kuna kasumba ya madhehebu mengine kutokupenda ibada na taratibu za ki-Catholic,wao hudhani na kuamini ni za kipagani
'
Huyo dada alichochukia sio mtoto kuombewa bali kufanyiwa maombi ya kikatoliki ambayo kwake ni upagani
'
Tatizo ndo hilo!

FP hivi ninapotaka kutoka na mtoto wangu ni mpaka nimjulishe mke wangu kuwa natoka nae?
'
This is insane,mtoto wangu mwenyewe halafu nitoe taarifa kwa nani?Labda hapo nyumbani kuwe hakuna mtu,kwanza mtoto mdogo hawezi kuachwa peke yake
'
Siombi ruhusa na taarifa sikupi,utapata taarifa kwa HG utakapotoka kazini!

alimpeleka kwenye maombi ya kanisani au ya kwenye matambiko???
 
Last edited by a moderator:
huoni tatizo kwa mama kukosa milestone za mtoto?
Dada huyo Mama km ni rafiki yako na sio wewe mwambie kabisa ni Mkorofi kwa sababu kila mchango unaoambiwa wewe unamtetea,
Umeshaambiwa yupo mwenzako alimkataza H/girl asishirikiana na majirani kwa lolote, sasa mtoto akaharisha mpaka akafariki na yeye H/g akakosa hata vocha mtoto akafariki

Mueleweshe kabisa huyo ni mtoto wa kwanza hana mamlaka naye peke yake, je? wakiongezeka
Sisi kabila letu hatua ikizidi mtoto atakaa kwa Bibi na yeye atafute wa pili akikataa ataondoka na ataingia mwingine atakayeweza kufuata masharti ni kwa baba na Dini ni kwa baba, Shule ni Baba hata km ni Maskini

Unanikumbusha Da Sophy na https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412319-digirii-haitunzi-mume-23.html
Kwa nini yeye kila kitu aambiwe hata km nataka kwenda na mwanangu nyumba ndogo
 
Last edited by a moderator:
kitu ambacho watu wengi hawaelewi...ni kuwa dhehebu halitompeleka mtu mbinguni....angekuwa muislam na mkristo kweli, koz, hapo kungekuwa na tofauti...mana waislam hawaendi mbinguni....ila koz wote ni wakristo, na wote wanakiri kwa vinywa na mioyo yao kuwa Yesu ni Bwana na Mwokozi wao..na alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zao...na wakatubu...na wakaishi kwa sheria alizoweka Mwenyezi Mungu...basi regardless wanasali wapi na wapi....wote wataenda peponi...na hapo haitojalisha mtoto AMEOMBEWA wapi...mana wote wanamwamini Mungu mmoja...pia, kwa waumini wa kweli, haihitaji kuomba ruhusa kufanya maombi ama kumfanyia mtu maombi....hivyo si sawa huyo partner kukasirika..na hata akikasirika...BIBLIA inamtaka aimalize hasira yake kabla ya machweo ya jua ili asitende dhambi..na kama amekasirika jioni, basi ayamalize na partner wake kabla ya sala ya usiku kabla hawajalaa.....
 
Ukwaju FP Eiyer Kongosho Lyagwa

UPDATE

Nimeongea na dada tena amesema wakati anamuogesha amekuta ana alama za kuchanjwa kichwani, kifuani na mgongoni.
I knew something was fishy. Anasubiri kuyaongelea na mumewe akitoka kazini. I wish them all the best.
Ukwaju, sidhani kama unaelewa kinachoendelea hapa. Wewe mkeo angeenda kumfanyia first born wako mambo ya kimila bila kukutaarifu ungejisikiaje? Hakuna cha degree wila kiburi hapa, nyie mwanamke akidiriki kukuhoji swala fulani mnasema ana kiburi. Of course namtetea, she's my friend and I can see her frustration.
 
Poleni sana na huyo shoga yako mm nilidhani ni wewe
Mimi namruhusu kabisa aende naye akamfanyie lolote, sina maneno huenda anajua mganga wa kumtibu chochote maana najua hawezi kumdhuru. Lakini anihoji kwanini umempeleka kwa Babu na bibi wa Mtoto?
Kweli wakisikia watamchukia na Mwanamume ndio atapewa kichwa amuache na aoe mwenye tabia ya kujua mtoto ni wa Baba na atarithi jina na kila kitu labda kwa ruksa ingine
Mwambie awe mpole na asiendelee kukasirika wala kuhoji kwani Mumewe na Wakweze wakigundua
Mimi namruhusu atafute Mume mwingine aniachie mwanangu ntamlea nijuavyo na wadogo zake
 
Ukwaju FP Eiyer Kongosho Lyagwa

UPDATE

Nimeongea na dada tena amesema wakati anamuogesha amekuta ana alama za kuchanjwa kichwani, kifuani na mgongoni.
I knew something was fishy. Anasubiri kuyaongelea na mumewe akitoka kazini. I wish them all the best.
Ukwaju, sidhani kama unaelewa kinachoendelea hapa. Wewe mkeo angeenda kumfanyia first born wako mambo ya kimila bila kukutaarifu ungejisikiaje? Hakuna cha degree wila kiburi hapa, nyie mwanamke akidiriki kukuhoji swala fulani mnasema ana kiburi. Of course namtetea, she's my friend and I can see her frustration.

Uliposema akaenda kufanyiwa maombi kwangu mimi mkiristu nilijua maombi kweli, ndio maana na mchango wangu uko katika mtazamo huo uliousoma, ila baada ya kufanya editing or updates ama ufafanunuzi kwenye thread yako hapa naingia gizani, unanitoa kwenye line na mchango wangu wa awali unakosa nguvu. Kwangu ninapotaja maombi namanisha kwa Mungu mmoja katika nafsi tatu (Baba, Mwana na Roho mtakatifu) na si vinginevyo.

Hayo mambo ya matambiko na miungu kama wanaiamini wao, duh nadhani napata shida maana nimeona ukisema wote ni wakiristu, sawa najua tuna mila na desituri za kwetu kwa makabila mbalimbali basi tuelezana na kuwekana wazi kwa wale ambao bado wanazitekeleza ili kuondoa mataizo katika ndoa hasa yasiyo na msingi na hii ni pale ambapo wanandoa wanatoka katika kabila tofauti kitu ambacho kwa sasa ni very normal.
 
HoneyBee.. Nafikiri huyo baba hakufanya vyema.. Alipaswa ampe mkewe taarifa .. Akienda au asipoenda hyo ni juu yake.

Lakini pia najiuliza ni maombi gani hayo yenye kuhusisha mtoto kuchanjwa?????

(Hii ni mojawapo ya changamoto ya wanandoa kuwa na imani tofAuti .. Msipokubaliana vyema watoto watakuwaje, ndo hizo vuta nikuvute mama anavutia kwake baba kwake)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wanamuharibia huyo mtotot maisha yake ya baadaye
Ukwaju FP Eiyer Kongosho Lyagwa

UPDATE

Nimeongea na dada tena amesema wakati anamuogesha amekuta ana alama za kuchanjwa kichwani, kifuani na mgongoni.
I knew something was fishy. Anasubiri kuyaongelea na mumewe akitoka kazini. I wish them all the best.
Ukwaju, sidhani kama unaelewa kinachoendelea hapa. Wewe mkeo angeenda kumfanyia first born wako mambo ya kimila bila kukutaarifu ungejisikiaje? Hakuna cha degree wila kiburi hapa, nyie mwanamke akidiriki kukuhoji swala fulani mnasema ana kiburi. Of course namtetea, she's my friend and I can see her frustration.
 
Soma vizuri...Mimi ndo nilisema si mwanamaombi, ila wao (dada na mmewe) ni wakristo ila dhehebu tofauti.

honeybee huyo baba alishindwa kuandika hata sms kwenye simu ya mkononi? huyo baba hakutenda sawa! kwani simu za nini?
 
Back
Top Bottom