PreGE2025 Hakuna Watia Nia Waitwao G55, Watia Nia Wote Halali Wakubali Kwa Kauli Moja Kuweka Nguvu Kwenye NO REFORMs NO ELECTION

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,096
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli.

CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo:

1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye nia ya kugombea nafasi ya ubunge, anaandika barua kwa katibu wa chama wa Kanda, na nakala anaipeleka kwa Katibu Mkuu wa Chama.

2. Kwa wagombea wa udiwani, wanaandika barua kwa Katibu wa Chama Wilaya, na nakala wanaituma kwa Katibu wa Chama wa Kanda na kwa katibu wa chama wa Kata.

Mimi nilihudhuria kikao kilichoitishwa na Katibu Mkuu cha tarehe 03 APRIL 2025, kilichojumuisha watia nia wote na waliokuwa wagombea kwenye uchaguzi wa 2020.

Majimbo yote ya Tanganyika, na baadhi ya Zanzibar na Pemba, watia nia wake walihudhuria mkutano huo ulioitishwa na Katibu Mkuu, na hakuna hata jimbo moja kwa upande wa Tanganyika ambalo halina watia nia. Baadhi ya majimbo yalionekana kuwa na watia nia zaidi ya mmoja. Ukumbi ulijaa kwa kiasi cha baadhi kufikia hatua ya kukosa viti, na kutafutiwa toka nje.

Baada ya hotuba za viongozi wakuu wa chama, wanahabari waliombwa watoke ukumbini ili watia nia wawe huru kuongea lolote kuhusiana na msimamo wa chama uliopitishwa na Kamati Kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, wa NO REFORM NO ELECTION. Na nafasi ilitolewa kwa watia nia kwa kufuata kanda baada ya kanda.

MATOKEO:
Hakuna hata mtia mmoja aliyesema anapinga au hakubaliani na msimamo huo wa chama wa NO REFORM NO ELECTION. Ilifikia mahali mpaka naibu katibu mkuu akaomba anyoshe mkono yule tu ambaye anapinga msimamo wa NO REFORM NO ELECTION, kama unaunga mkono usinyoshe mkono, na kwamba chama kinataka kusikia maoni ya wanaotaka twende kwenye uchaguzi kwa mazingira yaliyopo. Mtia nia mmoja wa jimbo la Kilosa alinyosha mkono. Aliponyosha tu mkono, wengi wakageuka nyuma kutaka kumwona huyo anayepinga NO REFORM NO ELECTION. Naibu katibu mkuu alisistiza sana kuwa watu watulie, na wampe uhuru wote aliye na mawazo tofauti, na wajumbe wawe tayari kusikia hoja zake. Watu wakati wakisubiria kusikia hoja za huyo mtia nia, wakaishiwa nguvu, na kuishia kwenye vicheko, baada ya kumsikia mtia nia huyo akisema kuwa, yeye hataki tuingie kwenye uchanguzi kwa mazingira yaliyopo, ila anapinga mikutano ya NO REFORM NO ELE3CTION kutofika kwenye jimbo lake.

Kabla ya kikao, makatibu wote wa Kanda waliwakilisha orodha ya watia nia wote kwa katibu mkuu, na majina yale yalikuwa na makarani wanaotick kama mtia nia ayeandikwa amefika kwenye kikao. Hao wanaojiita watia nia wa G55, majina yao hayakuonekana kwenye orodha ya watia nia. Kimsingi, kwa taratibu za CHADEMA, kwa sababu hawakutimiza matakwa ya taratibu za kuweza kutambuliwa kama watia nia, hao G55 ni watia nia fake, bila shaka wamejipachika majina ya watia nia kwa lengo maalum, bila shaka, la kuvuta pesa kutoka upande ule wa giza, maana kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi kunakuwa na utapeli mwingi wa kujipatia malipo binafsi yasiyo halali, kupitia uchaguzi.

Wakati huu ambao CCM ipo desperate, yeyote ambaye yupo CHADEMA kitapeli, anaweza kuivuta pesa ya CCM kiurahisi sana, kwa kuiiaminisha CCM kuwa anao uwezo wa kuzuia au kuharibu maamuzi ya umma wa Watanzania kuunga mkono programu ya ukombozi wa Taifa ya NO REFORM NO ELECTION.

NO REFORM NO ELECTION, hakika inaenda kushinda. Ninashangaa sana ilivyopata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wananchi wa vyama vyote, mpaka baadhi ya wanaCCM. Leo hii pekee wanaCCM watatu tofauti wamenipigia simu na kuniambia, "jamani pambaneni sana ili tujikomboe". Hawa wanaCCM, mmoja aliwahi kuwa mbunge kipindi cha Mkapa, mmoja aliwahi kuwa DC wakati wa kipindi cha Magufuli.

Soma Pre GE2025 - DSM - CHADEMA yaandaa kikao maalum kuwaita viongozi wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani "kuwafundisha" kuhusu No Reforms No Election
 
Amina Sana watz, Nchi inapaswa kuzunguza jamna kuwa na JAMII ya kujivunia, yenye maendeleo. Siyo mauchaguzi na Sheria.
Tulazimishe watawala waweke mazingira Bora ya uchaguzi ili atakayekuwa kiongozi tumpe ushirikiano vizuri
MUNGU IBARIKI TZ
 
Huu ndio wakati sahihi uliosubiriwa kupambana na kuwaondoa hawa wadhulumaji na majizi ya haki za wananchi, CCM. Kwa umoja na msukumo unaoonekana kila mahali, haya majizi ya haki, hayataamini macho yao.
 
Pathetic.
Uchaguzi upo with no reform thats it.
 
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli.

CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo:

1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye nia ya kugombea nafasi ya ubunge, anaandika barua kwa katibu wa chama wa Kanda, na nakala anaipeleka kwa Katibu Mkuu wa Chama.

2. Kwa wagombea wa udiwani, wanaandika barua kwa Katibu wa Chama Wilaya, na nakala wanaituma kwa Katibu wa Chama wa Kanda na kwa katibu wa chama wa Kata.

Mimi nilihudhuria kikao kilichoitishwa na Katibu Mkuu cha tarehe 03 APRIL 2025, kilichojumuisha watia nia wote na waliokuwa wagombea kwenye uchaguzi wa 2020.

Majimbo yote ya Tanganyika, na baadhi ya Zanzibar na Pemba, watia nia wake walihudhuria mkutano huo ulioitishwa na Katibu Mkuu, na hakuna hata jimbo moja kwa upande wa Tanganyika ambalo halina watia nia. Baadhi ya majimbo yalionekana kuwa na watia nia zaidi ya mmoja. Ukumbi ulijaa kwa kiasi cha baadhi kufikia hatua ya kukosa viti, na kutafutiwa toka nje.

Baada ya hotuba za viongozi wakuu wa chama, wanahabari waliombwa watoke ukumbini ili watia nia wawe huru kuongea lolote kuhusiana na msimamo wa chama uliopitishwa na Kamati Kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, wa NO REFORM NO ELECTION. Na nafasi ilitolewa kwa watia nia kwa kufuata kanda baada ya kanda.

MATOKEO:
Hakuna hata mtia mmoja aliyesema anapinga au hakubaliani na msimamo huo wa chama wa NO REFORM NO ELECTION. Ilifikia mahali mpaka naibu katibu mkuu akaomba anyoshe mkono yule tu ambaye anapinga msimamo wa NO REFORM NO ELECTION, kama unaunga mkono usinyoshe mkono, na kwamba chama kinataka kusikia maoni ya wanaotaka twende kwenye uchaguzi kwa mazingira yaliyopo. Mtia nia mmoja wa jimbo la Kilosa alinyosha mkono. Aliponyosha tu mkono, wengi wakageuka nyuma kutaka kumwona huyo anayepinga NO REFORM NO ELECTION. Naibu katibu mkuu alisistiza sana kuwa watu watulie, na wampe uhuru wote aliye na mawazo tofauti, na wajumbe wawe tayari kusikia hoja zake. Watu wakati wakisubiria kusikia hoja za huyo mtia nia, wakaishiwa nguvu, na kuishia kwenye vicheko, baada ya kumsikia mtia nia huyo akisema kuwa, yeye hataki tuingie kwenye uchanguzi kwa mazingira yaliyopo, ila anapinga mikutano ya NO REFORM NO ELE3CTION kutofika kwenye jimbo lake.

Kabla ya kikao, makatibu wote wa Kanda waliwakilisha orodha ya watia nia wote kwa katibu mkuu, na majina yale yalikuwa na makarani wanaotick kama mtia nia ayeandikwa amefika kwenye kikao. Hao wanaojiita watia nia wa G55, majina yao hayakuonekana kwenye orodha ya watia nia. Kimsingi, kwa taratibu za CHADEMA, kwa sababu hawakutimiza matakwa ya taratibu za kuweza kutambuliwa kama watia nia, hao G55 ni watia nia fake, bila shaka wamejipachika majina ya watia nia kwa lengo maalum, bila shaka, la kuvuta pesa kutoka upande ule wa giza, maana kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi kunakuwa na utapeli mwingi wa kujipatia malipo binafsi yasiyo halali, kupitia uchaguzi.

Wakati huu ambao CCM ipo desperate, yeyote ambaye yupo CHADEMA kitapeli, anaweza kuivuta pesa ya CCM kiurahisi sana, kwa kuiiaminisha CCM kuwa anao uwezo wa kuzuia au kuharibu maamuzi ya umma wa Watanzania kuunga mkono programu ya ukombozi wa Taifa ya NO REFORM NO ELECTION.

NO REFORM NO ELECTION, hakika inaenda kushinda. Ninashangaa sana ilivyopata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wananchi wa vyama vyote, mpaka baadhi ya wanaCCM. Leo hii pekee wanaCCM watatu tofauti wamenipigia simu na kuniambia, "jamani pambaneni sana ili tujikomboe". Hawa wanaCCM, mmoja aliwahi kuwa mbunge kipindi cha Mkapa, mmoja aliwahi kuwa DC wakati wa kipindi cha Magufuli.
Wanachadema ni vichwa sana. Umeandika vizuri sana Mtia Nia u ajielewa.

Utakuwa Jimbo Gani Mheshimiwa?
 
Hawa wamejiweka wazi, wamekisaidia chama na nchi pia. Hawa ni ibilisi waliotaka kujificha kwenye kundi la watu wema. Wameumbuka, na hawatafanikiwa chochote kwenye uovu wao. walichoweza kukifaidi ni pesa ya CCM.
Pesa za Mama zitapigwa sana.

Mjini hapa
 
Kitu nilichojifunza mpaka sasa Tundu Lissu ni genius! Yaani amekuwa akija na kitu ambacho kinawafanya watu kuwa busy kuwafuatilia wao tu, na mwisho wa siku hitimisho linapatikana.

Wakati wa uchaguzi wao wa ndani mambo yalikuwa ni hivi hivi! CCM walikuwa hawasikiki kabisa, na hata baadhi ya chawa wao wakajikuta wapo kwenye siasa za kuitangaza CHADEMA, badala ya chama chao! Na mwisho wa siku akashinda Uenyekiti!
 
Umeusoma lakini waraka unaouzungumzia? Ni wapi wamesema wanapinga " No Reforms No Elections"? Walichosema ni kuwa wanakubali kuwa kuna mahitaji ya "reforms": Hata ya "no elections" wanakubaliana nayo. Wanachotofautiana na uongozi wa sasa ni timing ya " no elections". Wanaamini kuwa kuitanguliza dhana hiyo inaweza kueleweka kama CDM watazuia uchaguzi na watawazuia wanachama wake kushiriki katika uchaguzi huo ikiwa pamoja na kutia nia ya kugombea. Wana haki ya kuamini hivyo maana tayari watu wameanza kuitwa CCM na mapandikizi ya CCM kwa sababu tu wameonyesha nia ya kugombea. Inaelekea uongozi umebadilisha gia angani baada ya kujulikana kuwa wao wenyewe wana mpango wa kugombea tofauti na walivyoiaminisha jamii na wafuasi wao.

Wanachokisema wakina Mrema ni kuwa mgombea anakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuhakikisha kuwa haki inatendeka na hata kuzuia uchaguzi katika jimbo lake. Msimamo huo ni kama wa ACT Wazalendo.
Kilichonistua katika simulizi yako ni uliposema katika watu waliokuwa ukumbini hakuna hata mmoja aliyetofautiana na msimamo wa uongozi. Hicho sio kitu cha kujivunia maana hakina tofauti na CCM ambako kauli ya kiongozi haipingwi na kukiwepo na upigaji wa kura anashinda kwa 100%. Hii ni tofauti kabisa na mfano ambao CDM ulionyesha taifa kuwa unaweza kupingana na Mwenyekiti halafu ukamshinda katika uchaguzi. Na baada ya hapo aliyeshindwa akakaa pembeni na kumuachia aliyeshinda akiongoze chama. Kukaa pembeni huku hakuna miaka kikao hicho kama wasingekuwa watia nia. Aidha, ieleweke pia kuwa mara nyingi katika kila jimbo kunakuwa na watia nia zaidi ya mmoja.

Mimi naona mnachofanya cha kuwachafua majina watu kama Catherine Ruge, Suzan Kiwanga na hata John Mrema ni uovu wa hali ya juu. Kwa mawazo yangu kuna uwezekano mkubwa kuwa nyinyi ndio mnaotumiwa (pengine bila kufahamu) kuliko hao mnaowatuhumu. Hausemi kuwa wakina Mrema wameahidi kuendelea kuwa wanachama waaminifu wa CDM na kuunga mkono maamuzi ya chama.

Cha kujifunza hapa ni kuwa Chadema inahitaji kujadili upya na kwa dhati maana ya "no elections" maana haieleweki kwa wengi. Lissu mwenyewe amewahi kusema kuwa CDM haitasusia uchaguzi. Kama haitasusia ina maana itashiriki. Kama ni hivyo kosa la G55 ni lipi?

Amandla...
 
Mimi naamini kuwa CCM ilitaka Lissu ashinde ndio maana walikuwa wanafanya kampeni za waziwazi kwa ajili ya Mbowe wakijua kuwa watu watampigia kura Lissu kwa imani kuwa Mbowe ni chaguo la CCM. Walimhofia Mbowe kwa sababu walijua kuwa angeweza kukiunganisha chama na kupambana nao kimkakati. Aidha, walijua kuwa hahongeki na hatishiki. Kinachoendelea CDM ndicho walichokitegemea kutokea na hawakukosea. Badala ya kuunganisha nguvu watu wanashinda kutafuta wachawi na kulipa visasi. Inasikitisha sana. Lissu ni communiator mzuri sana lakini Mbowe ni strategist par excellence.

Amandla...
 
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli.

CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo:

1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye nia ya kugombea nafasi ya ubunge, anaandika barua kwa katibu wa chama wa Kanda, na nakala anaipeleka kwa Katibu Mkuu wa Chama.

2. Kwa wagombea wa udiwani, wanaandika barua kwa Katibu wa Chama Wilaya, na nakala wanaituma kwa Katibu wa Chama wa Kanda na kwa katibu wa chama wa Kata.

Mimi nilihudhuria kikao kilichoitishwa na Katibu Mkuu cha tarehe 03 APRIL 2025, kilichojumuisha watia nia wote na waliokuwa wagombea kwenye uchaguzi wa 2020.

Majimbo yote ya Tanganyika, na baadhi ya Zanzibar na Pemba, watia nia wake walihudhuria mkutano huo ulioitishwa na Katibu Mkuu, na hakuna hata jimbo moja kwa upande wa Tanganyika ambalo halina watia nia. Baadhi ya majimbo yalionekana kuwa na watia nia zaidi ya mmoja. Ukumbi ulijaa kwa kiasi cha baadhi kufikia hatua ya kukosa viti, na kutafutiwa toka nje.

Baada ya hotuba za viongozi wakuu wa chama, wanahabari waliombwa watoke ukumbini ili watia nia wawe huru kuongea lolote kuhusiana na msimamo wa chama uliopitishwa na Kamati Kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, wa NO REFORM NO ELECTION. Na nafasi ilitolewa kwa watia nia kwa kufuata kanda baada ya kanda.

MATOKEO:
Hakuna hata mtia mmoja aliyesema anapinga au hakubaliani na msimamo huo wa chama wa NO REFORM NO ELECTION. Ilifikia mahali mpaka naibu katibu mkuu akaomba anyoshe mkono yule tu ambaye anapinga msimamo wa NO REFORM NO ELECTION, kama unaunga mkono usinyoshe mkono, na kwamba chama kinataka kusikia maoni ya wanaotaka twende kwenye uchaguzi kwa mazingira yaliyopo. Mtia nia mmoja wa jimbo la Kilosa alinyosha mkono. Aliponyosha tu mkono, wengi wakageuka nyuma kutaka kumwona huyo anayepinga NO REFORM NO ELECTION. Naibu katibu mkuu alisistiza sana kuwa watu watulie, na wampe uhuru wote aliye na mawazo tofauti, na wajumbe wawe tayari kusikia hoja zake. Watu wakati wakisubiria kusikia hoja za huyo mtia nia, wakaishiwa nguvu, na kuishia kwenye vicheko, baada ya kumsikia mtia nia huyo akisema kuwa, yeye hataki tuingie kwenye uchanguzi kwa mazingira yaliyopo, ila anapinga mikutano ya NO REFORM NO ELE3CTION kutofika kwenye jimbo lake.

Kabla ya kikao, makatibu wote wa Kanda waliwakilisha orodha ya watia nia wote kwa katibu mkuu, na majina yale yalikuwa na makarani wanaotick kama mtia nia ayeandikwa amefika kwenye kikao. Hao wanaojiita watia nia wa G55, majina yao hayakuonekana kwenye orodha ya watia nia. Kimsingi, kwa taratibu za CHADEMA, kwa sababu hawakutimiza matakwa ya taratibu za kuweza kutambuliwa kama watia nia, hao G55 ni watia nia fake, bila shaka wamejipachika majina ya watia nia kwa lengo maalum, bila shaka, la kuvuta pesa kutoka upande ule wa giza, maana kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi kunakuwa na utapeli mwingi wa kujipatia malipo binafsi yasiyo halali, kupitia uchaguzi.

Wakati huu ambao CCM ipo desperate, yeyote ambaye yupo CHADEMA kitapeli, anaweza kuivuta pesa ya CCM kiurahisi sana, kwa kuiiaminisha CCM kuwa anao uwezo wa kuzuia au kuharibu maamuzi ya umma wa Watanzania kuunga mkono programu ya ukombozi wa Taifa ya NO REFORM NO ELECTION.

NO REFORM NO ELECTION, hakika inaenda kushinda. Ninashangaa sana ilivyopata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wananchi wa vyama vyote, mpaka baadhi ya wanaCCM. Leo hii pekee wanaCCM watatu tofauti wamenipigia simu na kuniambia, "jamani pambaneni sana ili tujikomboe". Hawa wanaCCM, mmoja aliwahi kuwa mbunge kipindi cha Mkapa, mmoja aliwahi kuwa DC wakati wa kipindi cha Magufuli.

Soma Pre GE2025 - DSM - CHADEMA yaandaa kikao maalum kuwaita viongozi wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani "kuwafundisha" kuhusu No Reforms No Election
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Lissu boya anajua urais ashindi anawanyima wenzie Haki ya Ubunge

Ila endeleeni na upumbavu soon mtaumizana
 
Mkuu,

Tofauti ya mtia nia na mgombea katika CHADEMA ni nini?

Kuna process ya kupata mtia nia? Mwanachama yoyote anayetangaza nia ya kugombea anakuwa bado si mtia nia?
 
Umeusoma lakini waraka unaouzungumzia? Ni wapi wamesema wanapinga " No Reforms No Elections"? Walichosema ni kuwa wanakubali kuwa kuna mahitaji ya "reforms": Hata ya "no elections" wanakubaliana nayo. Wanachotofautiana na uongozi wa sasa ni timing ya " no elections". Wanaamini kuwa kuitanguliza dhana hiyo inaweza kueleweka kama CDM watazuia uchaguzi na watawazuia wanachama wake kushiriki katika uchaguzi huo ikiwa pamoja na kutia nia ya kugombea. Wana haki ya kuamini hivyo maana tayari watu wameanza kuitwa CCM na mapandikizi ya CCM kwa sababu tu wameonyesha nia ya kugombea. Inaelekea uongozi umebadilisha gia angani baada ya kujulikana kuwa wao wenyewe wana mpango wa kugombea tofauti na walivyoiaminisha jamii na wafuasi wao.

Wanachokisema wakina Mrema ni kuwa mgombea anakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuhakikisha kuwa haki inatendeka na hata kuzuia uchaguzi katika jimbo lake. Msimamo huo ni kama wa ACT Wazalendo.
Kilichonistua katika simulizi yako ni uliposema katika watu waliokuwa ukumbini hakuna hata mmoja aliyetofautiana na msimamo wa uongozi. Hicho sio kitu cha kujivunia maana hakina tofauti na CCM ambako kauli ya kiongozi haipingwi na kukiwepo na upigaji wa kura anashinda kwa 100%. Hii ni tofauti kabisa na mfano ambao CDM ulionyesha taifa kuwa unaweza kupingana na Mwenyekiti halafu ukamshinda katika uchaguzi. Na baada ya hapo aliyeshindwa akakaa pembeni na kumuachia aliyeshinda akiongoze chama. Kukaa pembeni huku hakuna miaka kikao hicho kama wasingekuwa watia nia. Aidha, ieleweke pia kuwa mara nyingi katika kila jimbo kunakuwa na watia nia zaidi ya mmoja.

Mimi naona mnachofanya cha kuwachafua majina watu kama Catherine Ruge, Suzan Kiwanga na hata John Mrema ni uovu wa hali ya juu. Kwa mawazo yangu kuna uwezekano mkubwa kuwa nyinyi ndio mnaotumiwa (pengine bila kufahamu) kuliko hao mnaowatuhumu. Hausemi kuwa wakina Mrema wameahidi kuendelea kuwa wanachama waaminifu wa CDM na kuunga mkono maamuzi ya chama.

Cha kujifunza hapa ni kuwa Chadema inahitaji kujadili upya na kwa dhati maana ya "no elections" maana haieleweki kwa wengi. Lissu mwenyewe amewahi kusema kuwa CDM haitasusia uchaguzi. Kama haitasusia ina maana itashiriki. Kama ni hivyo kosa la G55 ni lipi?

Amandla...

Hata chama kiwe na uhuru kiasi gani, haimaanishi kwa sababu kuna uhuru, basi ni lazima mtatofautiana kwa kila jambo.

Ufahamu kuwa wengi wa hao watia nia, wengine waligombea mwaka 2015, wengine 2020; na baadhi, ndugu zao, marafiki zao, wapambe wao, ama walijeruhiwa na hata kuuawa. Baadhi yao, wao wenyewe waliwekwa ndani, walipigwa, na hata kunusurika kuuawa. Hawa wanajua ubaya wa uchaguzi kwa mazingira haya haramu kwa haki, yaliyowekwa na CCM kwa dhamira chafu. Hawa ni watu wa mwanzo kabisa kuunga mkono dhamira ya chama ya kutoruhusu kufanyika kwa uchaguzi kwa mazingira haya hatarishi kwao na wapiga kura wote, na hatari kwa ustawi wa Taifa letu.

Dhima nzima ni kuwa ama kunafanyika reforms za lazima na za msingi kwa haraka, ili uchaguzi ufanyike. Kama sivyo, basi hakuna haja ya kufanya uchaguzi, wananchi tupambanie kutengeneza kwanza mazingira mazuri ya uchaguzi. Na kama kuna watu wanataka kulazimisha kufanyike uchaguzi bandia, ili wapore mamlaka ya wananchi, wananchi tupambane kuzuia uharamia huo. Hiyo ndiyo maana ya NO REFORM NO ELECTION. Hii ni tofauti na kususia uchaguzi. Kususia uchaguzi ni kwamba hujaridhika na taratibu, unakaa zako pembeni, na kuwaacha wanaotaka kupora waendelee. Hiyo siyo dhamira ya CHADEMA, siyo lengo la NO REFORM NO ELECTION.

DHIMA kuu ya NO REFORM NO ELECTION ni kutumia njia zote zinazowezekana kulazimisha reforms, na kuhakikisha uchaguzi haufanyika kabla ya reforms.
 
Mkuu,

Tofauti ya mtia nia na mgombea katika CHADEMA ni nini?

Kuna process ya kupata mtia nia? Mwanachama yoyote anayetangaza nia ya kugombea anakuwa bado si mtia nia?

Kwa mwongozo wa chama, anayetaka kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi mkui, kwanza anakitaarifu chama kwa kuandika barua.

Muda wa mchakato wa uchaguzi ukifika, watia nia wanapigiwa kura na wajumbe wa kamati husika kwenye maeneo wanayotaka kugombea ubunge au udiwani. Majina na kura walizozipata watia nia, vitatumwa kwa mamlaka ya chama inayofanya uteuzi, ambayo kwa ubunge, ni kamati kuu. Atakayekuwa amepitishwa na kamati kuu, sasa anakuwa mgombea wa nafasi nafasi ya ubunge, kupitia CHADEMA. Watia nia wanaweza kuwa idadi yoyote ile, lakini mgombea huwa ni mmoja tu.
 
Back
Top Bottom