Hakuna wa kumtoa huyu mbunge

Huyu mbunge Kapuya sijui ni Prof wa nini kwa kweli mie binafsi namuona kama ni mzigo kwa taifa!

Uwa nashangaa Prof mzima eti anamiliki bendi, Acudo Impact.
ok sasa umeanza kuona

Je, unaweza taja wengine ambao ni mizigo
 
Kuna wabunge wengi wapo matumbo joto wakihofia kupoteza majimbo yao mwaka 2015 lakini sio kwa Prof JUMA ATHUMANI KAPUYA mbunge (CCM) wa URAMBO MAGHARIBI(Wilaya mpya Kaliua) hakika Kapuya ametutoa mbali na kamwe hatutamtosa amefanya mazuri mengi na bado anaendelea. Ni mbunge ambaye hana maneno mengi zaidi ya vitendo. MUNGU MBARIK KAPUYA NA IBARIK KALIUA.
Siku ambayo Watanzania wakijua maana ya vote watachagua wawakilishi wanaweza kuwawakilisha ipasavyo. Vote ni barabara yako ya kiwango cha lami toka mjini mpaka kijijini kwako, ni maji yako salama nyumbani kwako, ofisini kwako, shuleni kwa mtoto wako, hospitalini mahali atakapojifungulia mkeo, mahali utakapotibiwa wewe na mtoto wako, vote ni village planning kwa maendeleo ya jamii katika Elimu, Afya,Kilimo bora, usafiri kijijini kwa bei nafuu kwa kutua subside toka serikalini, vote yako ni kutoka kwenye tembe kuwa na better housing.na mambo mengine mengi ya maendeleo kama viwanda vidovidogo vya kuingiza mapato ya kila siku badala ya kusubiri tumbaku. Siku watu hawa wakiondokana na wazo la kuwa VOTE(KURA) ndiyo wakati wa kupata maslahi , sahau maana ya kweli ya vote, basi kwa upande wangu awe KAPUYA hata wewe au mkulima yeyote akishika nafasi hiyo kwangu poa tu. Elimu ni muhimu kuwaelewesha watu wa hapo.....Jimbo hilo halina maji salama kwenye majumba ya watu, bado wako kwenye matembe, yaani tegemeo kubwa ni tumbaku, hakuna hata ubunifu wa kutengeneza hata viwanda vidogo vya kutengeneza salt ya margarasi, lemon salt, iodine salt,peanut salt n.k zinaingiza mapato kuliko tumbaku. Ni nawazo yangu tu.....Tuombe wananchi wetu wapate mabadiliko kidogo.
 
Ni kweli kabisa, katutowa mbali.

Kama huyu binti alikuja Dar kama house girl na sasa kapaishwa juu, safi sana.

Kapuya4.jpg
Jamani mtindo gani huu wa kucheza KI-Urambo Urambo?
 
wewe kweli gamba la ukweli unasema kaleta maendeleo tabora????????????? au umeandika ukiwa unipiga msuba nin!!!
 
Huyu mbunge Kapuya sijui ni Prof wa nini kwa kweli mie binafsi namuona kama ni mzigo kwa taifa!

Uwa nashangaa Prof mzima eti anamiliki bendi, Acudo Impact.

NI WEWE RITZ NAYEKUFAHAMU AU NI MWINGINE!!!? Kwel kama ni ww, hakika siamini maneno yako..leo hii una mponda Gamba mwenzio???
 
tutamtoa kupitia katiba mpya ambayo itaweka kikomo cha mtu kukaa madarakani ili kuwapisha wengine wenye uwezo.....!
 
Back
Top Bottom