Hakuna utu biashara tu

Hakuna utu biashara tu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
A4BrkzwCcAA9Xjs.jpg:large
 
Kama hakuna mwenye panga hapo ni vigumu kumsaidia huyo kijana.Mpiga picha yuko kazini anaifanyia kazi kampuni kubwa ya habari za documentary(tazama quality na thamani ya hiyo kamera!)
 
Alichukua picha kwanza halafu ndio akaanza kumsaidia kijana. Msiwe na wasiwasi kijana hakumezwa na chatu.

Tiba
 
katolewa sumu huyo

MankaM;
Sema pole pole wasikusikie wakacheka. Chatu huyo, hanaga sumu kabisa. Utatolewaje usichokuwa nacho?? Sema ni wa Kisukuma huyo amefundishwa ngoma za kisukuma huyo. Angalia kichwa kimepoz kabisa kwa furaha ya wimbo wa huyo mtoto.
 
hapo dogo anapomgusa anabanwa hadi anahisi moyo unanyofoka
 
Na huyo 3rd party aliyepiga hiyo picha?
Nafikiri walipose kwa ajili ya picha.
 
Back
Top Bottom