Hakuna utu au ubinadamu bila dini

Hakuna utu au ubinadamu bila dini

Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?

Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya utu au ubinadamu na Dini. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua bila Dini ubinadamu na utu vita toweka kabisa Duniani na hatutakuwa na tofauti na wanyama .

utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake. Hivyo ni jumla ya tabia njema anazopasa kuzionyesha mtu kwa jamii (hulka ya matendo mema). Source Wikipedia

Sasa Kwanini nina amini bila Dini ubinadamu au utu vitatoweka ? .

Sababu ya kwanza. Tumaini la maisha baada ya kifo. Bila dini hakuta kuwa na imani ya kuwa na maisha baada ya kifo.
Hii itaachia wengi walioshika dini kufanya maasi wakijua wote sisi mwisho ni kaburini . Bila shaka tungeuwana hovyo sana na kuumizana . Wengi wanaokamatwa kwa mauaji hukamatwa baada ya kuzubaa kutokana na dhamiri zao kuwa kinyume na walichotenda na hii ni sababu ya imani ya kidini. Bila dini hata sheria zisingeweza kuzuia watu Machafuko yangekuwa mengi sana . Mali zingepiganiwa mara 100 kuliko hivi sasa. Dini ikipotea kabisa ndani ya vichwa vyetu magenge ya mapigano yatakuwa mengi kuliko haiti [emoji1122] na nchi nyinginezo na ndio itakuwa namna ya kujilinda na kuweza kuishi kwa nchi nyingi.
Jiulize kwa hasira zako kama sio kuwa mcha Mungu mangapi mabaya ungetendea wengine haswa waliokukasirisha.
Bila ubinadamu na utu unaoletwa na Dini hakuna ulinzi utakaotosha kukulinda .

Sababu nyingine . Matukio mabaya kwenye jamii zilizo acha Dini. Bila kwenda mbali hebu fanya utafiti wako kwa kulinganisha mikoa ambayo dini imetamalaki sana na sehemu ambazo dini haieleweki imekaaje kwenye eneo hilo . Angalia takwimu za matukio kadiri muda unavyokwenda kutoka nchi za magharibi ata Asia kadiri wanavyozidi kuziacha dini matukio yanaongezeka au yanapungua?. Pia pitia historia kabla hizi dini mbili Ukristo na Uislamu kushika sana Dunia hali ilikuwaje . Mara nyingi vita kupinduana kwa mauaji vilishamiri kuliko hivi sasa na sasa ujuaji unataka kuongezeka tena . Dini zinaanza kuonekana ni ushamba kwa wasomi haina shida wao watapita salama ila ni hatari sana kwa vizazi vijavyo.

Njia salama ya kumwokoa mwanao na tabia hatarishi ni kumnywesha itikadi kali ya Dini.
Ukimwacha aje achague mwenyewe utampoteza kwani bila imani za dini basi hata ushoga na tabia chafu nyinginezo mashiko ya kuzipinga hayatakuwepo .
Maana ukigusia uumbaji tu lazima utagusa Dini. Ukisema tumetokana na sokwe sasa unampangia mtu kuwa unavyotaka wewe ili nini unamzuia asiwe shoga ili nini wakati wote tutaishia kaburini . Bila imani ya maisha baada ya kifo inakuwa sababu nyingine hazina nguvu. Itikadi kali ya dini itamlinda mwanao na kumpa Amani hata anapopitia magumu kiasi gani watu wote wampinge bado ataishi akiamini kuna Mungu.

Mwisho tusiache Dini ni ulinzi wa kizazi chetu na vizazi vijavyo.

Wewe unaonaje Dunia bila Dini ingekuwaje?

Lakini wengine ukisema dini wanajua ni ukristo na uislam.
 
Hii ni kwa mujibu wako,
Wapo wasioamini kokote na utu/ubinadam wao ni wa kiwango kingine kabisa
 
Ujumbe umefika
 
Maandishi
Basi unakosea unaweza kuijua dini kwa kuisomea au kusoma kwa asilimia 40 tu . Asilimia 60 nilazima uiamini uabudu na kufuata ya kitabu ukifikia kiwango cha juu cha imani utajua mengi na kudhibitisha ukweli wa yaliyoandikwa. Wewe sio mjuaji wa kwanza walikuwepo wengi kabla yako. Ukiwaona maaskofu , mashekhe ujue kuna wale wanaijua dini kimaandishi na wale wanayoijua dini kiroho na kiimani ambao washafikia level ya juu na kujua na kuona na kudhibitisha walichokisoma hawa hawabadiliki tupo wakristo wa kawaida huwezi kutuambia kitu tukakuelewa kuhusu imani yetu na tupo huru kabisa kukosoa na kukosolewa kwa maandiko na tukifunuliwa tunabadilika ila sio kuiacha imani . Naipenda imani yangu nampenda Mungu . Nampenda Yesu namwamini maana nimeona anavyotenda. Sehemu nyingi ambazo ni impossible ananipitisha salama .
 
Tunaongelea Dini mkuu . Dini zinasemaje
Sawa, tuje kwenye dini sasa:
Ukristu = David alikuwa mbakaji na muuwaji. Alikuwa anabaka wake za watu na kuua waume zao, leo hii hapa Tanzania mtu anaona ufahari kumuita mwanaye mbakaji na muuwaji (Daudi). Mohammed, huyu alikuwa zaidi ya kibaka. Kazi yake yeye ilikuwa ni kuua watu (wanaume) na kubaka wake zao ili asambaze damu yake. Cha kusikitisha alikuwa anakabaka katoto Aisha, alianza kukalawiti toka kakiwa na miaka 9 na huyu jamaa anaabudiwa watu wakidhani kuwa ni mtume..Kwa kifupi, uzinzi na dini ni kitu kimoja.
 
Utu ni malezi na mapokezi ya tabia kutoka kwa wanaoumzunguka
Ukisema dini inatengeneza watu kuwa na utu na uadilifu huo ni UONGO wangati siku hizi ni washenzi waliojificha kwenye kivuli cha dini?
Siku hizi dunia haitulii kwa sababu ya magaidi ya Kiislam.
Upande wangu mi naona sheria za nchi na police zinanifanya niwe na Utu na maadili maana nikizingua zinanizingua
 
ni kweli kabisa.

Dini ndio chanzo kikuu cha maadili mema.
Ukisoma Imani yako vizuri inakujengea hofu kwa Mungu wako na kuwaheshimu binanaadamu wenzako.
Hata ukiwa na PhD ngapi lakini kama huna elimu ya dini yako utakuwa muovu tu.
 
Naweza kuwa na imani bila dini, je sina utu? Ndio maana tuliuza utu wetu na kupokea hizi dini zilizokuja kwa meli tukifikiria ndio utu kumbe ni utamaduni tu wa kizungu.
 
Back
Top Bottom