min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,990
- 166,230
Ndio nchi zinazoongoza kuwa na watu wenye uchumi mkubwa duniani , furaha na amani.Population yao ikoje na hali ya kiuchumi , na tabia zao.

Kwa kuanzia tu tafuta historia ya haya mambo .90% ni Religion
You’re not serious mkuuHabari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?
Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya utu au ubinadamu na Dini. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua bila Dini ubinadamu na utu vita toweka kabisa Duniani na hatutakuwa na tofauti na wanyama .
utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake. Hivyo ni jumla ya tabia njema anazopasa kuzionyesha mtu kwa jamii (hulka ya matendo mema). Source Wikipedia
Sasa Kwanini nina amini bila Dini ubinadamu au utu vitatoweka ? .
Sababu ya kwanza. Tumaini la maisha baada ya kifo. Bila dini hakuta kuwa na imani ya kuwa na maisha baada ya kifo.
Hii itaachia wengi walioshika dini kufanya maasi wakijua wote sisi mwisho ni kaburini . Bila shaka tungeuwana hovyo sana na kuumizana . Wengi wanaokamatwa kwa mauaji hukamatwa baada ya kuzubaa kutokana na dhamiri zao kuwa kinyume na walichotenda na hii ni sababu ya imani ya kidini. Bila dini hata sheria zisingeweza kuzuia watu Machafuko yangekuwa mengi sana . Mali zingepiganiwa mara 100 kuliko hivi sasa. Dini ikipotea kabisa ndani ya vichwa vyetu magenge ya mapigano yatakuwa mengi kuliko haiti [emoji1122] na nchi nyinginezo na ndio itakuwa namna ya kujilinda na kuweza kuishi kwa nchi nyingi.
Jiulize kwa hasira zako kama sio kuwa mcha Mungu mangapi mabaya ungetendea wengine haswa waliokukasirisha.
Bila ubinadamu na utu unaoletwa na Dini hakuna ulinzi utakaotosha kukulinda .
Sababu nyingine . Matukio mabaya kwenye jamii zilizo acha Dini. Bila kwenda mbali hebu fanya utafiti wako kwa kulinganisha mikoa ambayo dini imetamalaki sana na sehemu ambazo dini haieleweki imekaaje kwenye eneo hilo . Angalia takwimu za matukio kadiri muda unavyokwenda kutoka nchi za magharibi ata Asia kadiri wanavyozidi kuziacha dini matukio yanaongezeka au yanapungua?. Pia pitia historia kabla hizi dini mbili Ukristo na Uislamu kushika sana Dunia hali ilikuwaje . Mara nyingi vita kupinduana kwa mauaji vilishamiri kuliko hivi sasa na sasa ujuaji unataka kuongezeka tena . Dini zinaanza kuonekana ni ushamba kwa wasomi haina shida wao watapita salama ila ni hatari sana kwa vizazi vijavyo.
Njia salama ya kumwokoa mwanao na tabia hatarishi ni kumnywesha itikadi kali ya Dini.
Ukimwacha aje achague mwenyewe utampoteza kwani bila imani za dini basi hata ushoga na tabia chafu nyinginezo mashiko ya kuzipinga hayatakuwepo .
Maana ukigusia uumbaji tu lazima utagusa Dini. Ukisema tumetokana na sokwe sasa unampangia mtu kuwa unavyotaka wewe ili nini unamzuia asiwe shoga ili nini wakati wote tutaishia kaburini . Bila imani ya maisha baada ya kifo inakuwa sababu nyingine hazina nguvu. Itikadi kali ya dini itamlinda mwanao na kumpa Amani hata anapopitia magumu kiasi gani watu wote wampinge bado ataishi akiamini kuna Mungu.
Mwisho tusiache Dini ni ulinzi wa kizazi chetu na vizazi vijavyo.
Wewe unaonaje Dunia bila Dini ingekuwaje?
Asante kwa kuongeza, tumekuwa brainwashed sana na dini , kiasi kwamba tunaona bila dini mambo hayaendi.Norway , Denmark Sweden, ni nchi zenye atheist wengi zaidi ila ni chi za watu peace mno.
Siyo kweliHakuna uaminifu kwenye ndoa bila dini pia
Kila mmoja anaamini Mungu ni mwanzilishi wa Dini yake .
2. Mchaga alikuwa na vita kali na mmasai mmasai hakumwacha hai mchaga akiingia kwenye eneo lake mchaga alimtimua mpare maeneo mengi yenye rutuba mchaga wa kibosho na machame walipiga vita mpaka leo nyumba wakijenga wanajenga mlango uelekee kinyume na alipo mwenzie . Lakini baada ya dini kukolea sehemu nyingi zipo kitu kimoja hakuna tena matatizo na kuuwana kwa sana. Pata historia pia ya kabila la wasukuma utu ulikuwa na mipaka
Wasukuma utu wao walikuwa na mipaka ipi?
hizi dini si zinasema mwamke mzinzi apigwe mawe hadi kufa sio zenyewe?
si zinasema usipotunza sabato uuawe?
hao wana waisraeli si tunawasoma walikuwa wanaua ovyo hadi kuku na mende kwa maadui zao?
Unakumbka sauli alipoenda kupigana na aliambiwa na mungu wa kwenye biblia akauwe kila kilicho hai na hata asibebe kitu hata dhahabu ateketeze? ila yeye binafsi utu ukamwingia kwa WASICHANA WAREMBO WENYE NYASH MPODODO WENYE UMBO NO8 KIFUANI SA6 PAMOJA NA NG'OMBE WALE WALIONONA hakuwaua bali alikuja nao na mungu huy huyu akasirika mnon kwann amekwenda kinyume chake cha kutokuwaaua wale warembo na kuteketeza wale ngo'mbe?
Sure kabisa bila dini tungekuwa tunapandana kama mbuzi . Ustaarabu tunaoishi umeletwa na DiniHakuna uaminifu kwenye ndoa bila dini pia
kati ya waafrika na hao waisrael ni wapi walioua watu wengi zaidi ?sio watoto,wazee,vijana,wanawake kwa mifugo?Mwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
Sheria za nchi ndio zimeleta amani mkuu na sio diniMwanamke alikuwa akipata mimba bila kuolewa . Mwanamke mwanaume wote wanachomwa mkuki kufa, jamii nyingi za Africa ziliua pacha , jamii nyingi ziliuwa albino kabla ya dini vipi hapo
Ila dini za Wazungu hapanaHabari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?
Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya utu au ubinadamu na Dini. Baada ya uchunguzi wa kina nimegundua bila Dini ubinadamu na utu vita toweka kabisa Duniani na hatutakuwa na tofauti na wanyama .
utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake. Hivyo ni jumla ya tabia njema anazopasa kuzionyesha mtu kwa jamii (hulka ya matendo mema). Source Wikipedia
Sasa Kwanini nina amini bila Dini ubinadamu au utu vitatoweka ? .
Sababu ya kwanza. Tumaini la maisha baada ya kifo. Bila dini hakuta kuwa na imani ya kuwa na maisha baada ya kifo.
Hii itaachia wengi walioshika dini kufanya maasi wakijua wote sisi mwisho ni kaburini . Bila shaka tungeuwana hovyo sana na kuumizana . Wengi wanaokamatwa kwa mauaji hukamatwa baada ya kuzubaa kutokana na dhamiri zao kuwa kinyume na walichotenda na hii ni sababu ya imani ya kidini. Bila dini hata sheria zisingeweza kuzuia watu Machafuko yangekuwa mengi sana . Mali zingepiganiwa mara 100 kuliko hivi sasa. Dini ikipotea kabisa ndani ya vichwa vyetu magenge ya mapigano yatakuwa mengi kuliko haiti [emoji1122] na nchi nyinginezo na ndio itakuwa namna ya kujilinda na kuweza kuishi kwa nchi nyingi.
Jiulize kwa hasira zako kama sio kuwa mcha Mungu mangapi mabaya ungetendea wengine haswa waliokukasirisha.
Bila ubinadamu na utu unaoletwa na Dini hakuna ulinzi utakaotosha kukulinda .
Sababu nyingine . Matukio mabaya kwenye jamii zilizo acha Dini. Bila kwenda mbali hebu fanya utafiti wako kwa kulinganisha mikoa ambayo dini imetamalaki sana na sehemu ambazo dini haieleweki imekaaje kwenye eneo hilo . Angalia takwimu za matukio kadiri muda unavyokwenda kutoka nchi za magharibi ata Asia kadiri wanavyozidi kuziacha dini matukio yanaongezeka au yanapungua?. Pia pitia historia kabla hizi dini mbili Ukristo na Uislamu kushika sana Dunia hali ilikuwaje . Mara nyingi vita kupinduana kwa mauaji vilishamiri kuliko hivi sasa na sasa ujuaji unataka kuongezeka tena . Dini zinaanza kuonekana ni ushamba kwa wasomi haina shida wao watapita salama ila ni hatari sana kwa vizazi vijavyo.
Njia salama ya kumwokoa mwanao na tabia hatarishi ni kumnywesha itikadi kali ya Dini.
Ukimwacha aje achague mwenyewe utampoteza kwani bila imani za dini basi hata ushoga na tabia chafu nyinginezo mashiko ya kuzipinga hayatakuwepo .
Maana ukigusia uumbaji tu lazima utagusa Dini. Ukisema tumetokana na sokwe sasa unampangia mtu kuwa unavyotaka wewe ili nini unamzuia asiwe shoga ili nini wakati wote tutaishia kaburini . Bila imani ya maisha baada ya kifo inakuwa sababu nyingine hazina nguvu. Itikadi kali ya dini itamlinda mwanao na kumpa Amani hata anapopitia magumu kiasi gani watu wote wampinge bado ataishi akiamini kuna Mungu.
Mwisho tusiache Dini ni ulinzi wa kizazi chetu na vizazi vijavyo.
Wewe unaonaje Dunia bila Dini ingekuwaje?
Dini ya mzungu ni ipiIla dini za Wazungu hapana
Wasukuma utu wao walikuwa na mipaka ipi?
hizi dini si zinasema mwamke mzinzi apigwe mawe hadi kufa sio zenyewe?
si zinasema usipotunza sabato uuawe?
hao wana waisraeli si tunawasoma walikuwa wanaua ovyo hadi kuku na mende kwa maadui zao?
Unakumbka sauli alipoenda kupigana na aliambiwa na mungu wa kwenye biblia akauwe kila kilicho hai na hata asibebe kitu hata dhahabu ateketeze? ila yeye binafsi utu ukamwingia kwa WASICHANA WAREMBO WENYE NYASH MPODODO WENYE UMBO NO8 KIFUANI SA6 PAMOJA NA NG'OMBE WALE WALIONONA hakuwaua bali alikuja nao na mungu huy huyu akasirika mnon kwann amekwenda kinyume chake cha kutokuwaaua wale warembo na kuteketeza wale ngo'mbe?
Ukristo na Uarabu ,hizo walizowaleteaDini ya mzungu ni ipi