Hakuna utu au ubinadamu bila dini

Hakuna utu au ubinadamu bila dini

Sasa kwanini kuna serikali, na vyombo vya sheria?

Maadili yapo bila dini, ni kikundi flani cha watu ndo kinaamua kutunga na kusimamia sheria flani, hayo ndo maadili.

Na labda nikuambie tu, hata wanyama wana maadili, ya binadamu ni magumu kidogo kwasababu ya utashi na hisia

Mungu mwenyewe hayupo, anaangalia watu wanaokufa kila siku halafu uko hapa unazungumzia maadili
 
Nina maswali mawili,

1. MUNGU NI DINI GANI?
2. ENZI ZA UJIMA HAPAKUA NA UTU?
Kila mmoja anaamini Mungu ni mwanzilishi wa Dini yake .

2. Mchaga alikuwa na vita kali na mmasai mmasai hakumwacha hai mchaga akiingia kwenye eneo lake mchaga alimtimua mpare maeneo mengi yenye rutuba mchaga wa kibosho na machame walipiga vita mpaka leo nyumba wakijenga wanajenga mlango uelekee kinyume na alipo mwenzie . Lakini baada ya dini kukolea sehemu nyingi zipo kitu kimoja hakuna tena matatizo na kuuwana kwa sana. Pata historia pia ya kabila la wasukuma utu ulikuwa na mipaka
 
Sasa kwanini kuna serikali, na vyombo vya sheria?

Maadili yapo bila dini, ni kikundi flani cha watu ndo kinaamua kutunga na kusimamia sheria flani, hayo ndo maadili.

Na labda nikuambie tu, hata wanyama wana maadili, ya binadamu ni magumu kidogo kwasababu ya utashi na hisia

Mungu mwenyewe hayupo, anaangalia watu wanaokufa kila siku halafu uko hapa unazungumzia maadili
Utu hautokani na sheria utu hautokani na Elimu ndio maana wanaofungwa wengi ni wale wasio na hela na sio wale waliokosa utu. Huenda wauaji asilimia 90 wapo uraiani na 10 tu ndio wamefungwa . Sheria zimetungwa na binadamu na binadamu hana mipaka ya kufikiri au kutumia akili yake . Aliyetunga sheria anajua namna ya kuikwepa pia
 
Sheria hazijengi utu wala ubinadamu. Nani asiyejua kubaka kifungo ni miaka 30 +
Je ubakaji haupo. Binadamu asiye na utu asiyemcha Mungu lazima afikiria akibaka atakwepaje . Ila aliye na utu hata angalia sheria yeye mwenyewe tu ataona sio sawa
 
Utu hautokani na sheria utu hautokani na Elimu ndio maana wanaofungwa wengi ni wale wasio na hela na sio wale waliokosa utu. Huenda wauaji asilimia 90 wapo uraiani na 10 tu ndio wamefungwa . Sheria zimetungwa na binadamu na binadamu hana mipaka ya kufikiri au kutumia akili yake . Aliyetunga sheria anajua namna ya kuikwepa pia
Sasa kama dini ipo, na haifanyi kazi tuelewe nini?

Dini zenyewe zinatenganisha watu katika makundi

Dini zenyewe hazina mantiki eti utachomwa milele kwa makosa ya muda mfupi
 
Bila dini dunia ingekua sehemu yenye amani na upendo wa kweli hasa hizi dini mbili kubwa .

Dini huleta ubaguzi chuki na hata mauaji .
Dini hujenga jamaii ya watu wanafki .
Dini ndio imeondoa utu na ubinadamu .
 
Dini hazina umuhimu wowote duniani wala hazijasaidia chochote zaidi ya kujenga watu duni wanaokuwa na wema machoni pa watu ila ndani yao ni waovu wa kutisha .

Watu wanapaswa kujitambua na kufanya mema kwa sababu ni jambo zuri kufanya mema na sio kwa sababu ya kwenda mbinguni na kuopa sijui moto .
 
Baada ya hizi dini mbili kubwa kushika hatamu ndio dunia imeingia kwenye utulivu kutoka kwenye mapigano ya kikabila au kijiji na kijiji au ufalme na ufalme
Ndio maana vita urusi na Ukrain vinashangaza lakini kwa mujibu wa histori mambo yalikuwa mabaya zaidi karne za nyuma
 
Dini hazina umuhimu wowote duniani wala hazijasaidia chochote zaidi ya kujenga watu duni wanaokuwa na wema machoni pa watu ila ndani yao ni waovu wa kutisha .

Watu wanapaswa kujitambua na kufanya mema kwa sababu ni jambo zuri kufanya mema na sio kwa sababu ya kwenda mbinguni na kuopa sijui moto .
Dunia ndio itajenga watu kuwa wema kwa sababu ya sheria eti. Watakuwa wema kweli au ndio hao wanauwa alafu wanakwepa sheria wasio husika wanafungwa
 
Kuna nchi zina dini kwa kiwango kidogo sana ila wana utu kuliko hata sisi huku wenye dini zetu.

Rejea korea kusini
 
Kuna nchi zina dini kwa kiwango kidogo sana ila wana utu kuliko hata sisi huku wenye dini zetu.

Rejea korea kusini
Norway , Denmark Sweden, ni nchi zenye atheist wengi zaidi ila ni chi za watu peace mno.
 
Back
Top Bottom