canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,068
- 1,268
Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania?
Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu mnasimama mbele ya vyombo vya habari na kupinga mauaji mliofanya?
Oya hii nchi sio ya mama zenu na koo zenu hii nchi ni ya watanzania acheni kiburi ombeni msamaha tukutane road 9/12/2025 taifa letu hatujua kama mwalitapanya kiasi hiki mbavyo twaelewa saizi na ndio maana mnaua tu mnavyojisikia dawa yenu inakuja 9/12/2025 muue tena maelfu kama mlivyofanya 29/10.