uhuru wa kuzungumza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Uhuru wa kuzungumza upo, lakini unazungumza nini?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, amesema uhuru wa kuzungumza upo, lakini muhimu ni kuzingatia maudhui ya kile kinachozungumzwa. "Uhuru wa kuzungumza upo, lakini unazungumza nini?" alihoji. Soma Pia: Katambi: Jeshi la...
  3. canular

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhuru wa kuzungumza

    Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania? Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu mnasimama mbele ya vyombo vya habari na kupinga mauaji mliofanya? Oya hii nchi sio ya mama zenu na...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa huko London kupinga ongezeko kubwa la uhalifu, uminyaji wa uhuru wa kujieleza na kupinga uhamiaji haramu

  5. S

    JamiiForums Tanzania Lugha kali za matusi huko katika mtandao wa X, ni ishara tosha Kuwa watu wamechoka

    Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x. Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa)...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa: Uhuru wa kuzungumza lolote haukuwepo kabla ya Rais Samia

    “Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na kwa sasa kwa sababu ya uongozi tulionao na kama kawaida ya nchi yoyote, nchi yetu inaongozwa pia na...
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
Back
Top Bottom