Hakuna simu itakayozimwa leo

Hakuna simu itakayozimwa leo

Kuna simu apa haina imei kabisa thou ni original coz ili flashiwa sijui itakuwaje apo[/QUOTE
simu ni original iliflashiwa halafu haina imei..,restore hiyo imei itafanya kazi
 
3ffa42402f384fc92fbb9f0369ecf353.jpg
" class="bbImage lazyload" data-zoom-target="1" style="" alt="" title="" width="" height="" />
 
Simu ikiwa na IMEI fake mwisho saa 5:59 usiku wa sasa

Simu ikiwa original au fake imechezewa IMEI ni kuzimwa tu hakuna namna

Mkú we muongo kama tcra nima cm fake na haijazimwa mpaka sa hv saa 00:06
 
Tushasahau sukari tunawaza simu,hii kiki tu
 
HAWANA UWEZO WA KUZIMA SIMU HAWA JAMAA ILIKUWA BI TRICK WAZIJUE IMEI ZA SIMU ZENU KWA AJILI YA KUJUA IDADI YA KAMPUNI IPI YA MTANDAO YENYE CMU NYINGI ZAIDI.NA NAONA WASHAJUa
 
ukiflash maana yake anatoa system yote ya simu inakuwa kama kopo kisha anakuwekea system nyingine ya kudownload.. so inakuwa fake
Kuflash simu hakuifanya kua fake. U fake wa simu ni masuala ya hardware zaidi kwa maana parts za simu ndio hazijafikia standard iliokusudiwa.
Sasa unapoflash simu ni unabadili tu software na sio na sio hardware.
Na kuhusu imei ya simu haibadiliki maana flashing process haiigusi kabisa imei.
Imei itakua inakaa kwenye bios (nadhani).
 
ngezima tu tujue moja kuliko kuacha
Maana tokea walivyotangaza bila kuangalia athari ya kiuchumi hasa kwa taifa na mtu mmoja mmoja
Tembelea wafanyabiashara wa simu maumivu waliyoyapata wanajua wenyewe
Watu wa hali ya chini wachache sana waliokuwa wananunua simu, waelewa wachache sana tena watumiaji wa smartphones
Sjui huko kaliakoo lkn kwa mikoani haisimuliki mtu ana Mkopo bado kadi 200000/= hadi 300000/= kwa mwezi khaaaa!!!
 
Serekali ya ccm imeshindwa kutekeleza hata Ahadi ya kuzima simu fake aisee!
 
Back
Top Bottom