Kuna simu nilinunua kwenye kampuni moja ya simu ni original lakini nikaichokonoa nakujikuta nafuta IMEI number nikaipeleka kwa fundi akai-repair kwa kuweka IMEI mpya lakini ilivyoanza hii issue nikiulizia Imei ile ikawa haitambuliki juzi kati nikairudisha tena kwa fundi sasa makosa aliyofanya ameirudisha IMEI no.1 ile original akaiacha ile ya pili sasa leo ile line no.2 wameizimaukiflash maana yake anatoa system yote ya simu inakuwa kama kopo kisha anakuwekea system nyingine ya kudownload.. so inakuwa fake
Kuna simu nilinunua kwenye kampuni moja ya simu ni original lakini nikaichokonoa nakujikuta nafuta IMEI number nikaipeleka kwa fundi akai-repair kwa kuweka IMEI mpya lakini ilivyoanza hii issue nikiulizia Imei ile ikawa haitambuliki juzi kati nikairudisha tena kwa fundi sasa makosa aliyofanya ameirudisha IMEI no.1 ile original akaiacha ile ya pili sasa leo ile line no.2 wameizima
Nashukuru,sasa ndio najiuliza sijui nikaifanyie tena makaletee kwa kuirudishia ile IMEI ya pili labda itakuwa poa au niiache nisije nikatibua kabisa.nimecheka sana mkuu pole sana
. kazaba unaweza fanikiwaNashukuru,sasa ndio najiuliza sijui nikaifanyie tena makaletee kwa kuirudishia ile IMEI ya pili labda itakuwa poa au niiache nisije nikatibua kabisa.