Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,260
Reaction score
40,282
Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati.

Mapenzi yakiisha hautarudishiwa gharama zako. Hautapewa hata shukrani tu ya kuambiwa "asante". Sasa kama usipokua mbinafsi wa muda na hela zako, utaishia kuwa mwekezaji mjinga. You will be that dump fool funding her glow-up for the next man.

Usijiwekee standard ambazo hauwezi kustahimili. Mapenzi yenu yameanza umekodi gari, umeenda kulala nae hotelini au lodge ya gharama n.k. Utaweza ku-maintain hicho ulichoanzisha? Don't build a lie that will drain your money trying to keep it alive. Simping it's not kindness, not romantic, it's self destruction.

Siku utakapoulizwa "nillikulazimisha kunifanyia hayo yote?", ndipo utakapojua wanaoua sio vichaa, wanakuaga na akili timamu kabisa

Siku zote tambua mahusiano huwa yanafika mwisho. Mwisho unaweza kuwa kifo, talaka au kuachana. Kwaiyo jilinde huo mwisho mahusiano yasikuache ukiwa broke and broken. Protect your assets, money, heart and mission. Because when it's over. She wont refund a single cent.

Be a provider of value, not vibes. Invest in your plans, growth and legacy, not lust.

Don't be a simp.
 
MSUMARI WA MOTO, LAZIMA KENCHI ICHANIKE๐Ÿค

GONGA NYUNDO BABA,WATOTO WADOGO HAWAELEWI GAME INAVYOLOSTISHA MISSION ZAO.

๐Ÿ“ŒNO REFORM,NO RELATIONSHIP.
Tukiwaambia madogo ukweli wanatujibu "tafuta hela". Wakishapigwa nyundo ya utosi na hao wanawaita soul mates ndio wanagundua hawana u-special wowote ila walikua wasumbufu tu.
 
Nakazia mangi ila sasa hawa madogo sijui maskio yao wamewekewa gundi yani hawaelewi niko na my young bro nilipa ushauri vizuri kabisa kama kaka yake nkamuambia ukishindwa kunisikikiza basi fuata hata matendo yangu ila wapi hawa madogo wanamioyo ya njiwa hawaelewi kabisa
 
Usitupeperushie ndege wetu
 
Tusiwakatie tamaa
 
Umetema madini ya maana vijana wanapenda sifa wanajisahau kuwekeza wacha wachezee za mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ