Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

Sikiliza dogo, hakuna mahusiano ya bure kwa mwanaume. Mapenzi yanagharimu muda, nguvu na hela, na hautarudishiwa chochote pale mahusiano yatakapofika tamati.

Mapenzi yakiisha hautarudishiwa gharama zako. Hautapewa hata shukrani tu ya kuambiwa "asante". Sasa kama usipokua mbinafsi wa muda na hela zako, utaishia kuwa mwekezaji mjinga. You will be that dump fool funding her glow-up for the next man.

Usijiwekee standard ambazo hauwezi kustahimili. Mapenzi yenu yameanza umekodi gari, umeenda kulala nae hotelini au lodge ya gharama n.k. Utaweza ku-maintain hicho ulichoanzisha? Don't build a lie that will drain your money trying to keep it alive. Simping it's not kindness, not romantic, it's self destruction.

Siku utakapoulizwa "nillikulazimisha kunifanyia hayo yote?", ndipo utakapojua wanaoua sio vichaa, wanakuaga na akili timamu kabisa

Siku zote tambua mahusiano huwa yanafika mwisho. Mwisho unaweza kuwa kifo, talaka au kuachana. Kwaiyo jilinde huo mwisho mahusiano yasikuache ukiwa broke and broken. Protect your assets, money, heart and mission. Because when it's over. She wont refund a single cent.

Be a provider of value, not vibes. Invest in your plans, growth and legacy, not lust.

Don't be a simp.
Andishi linameremeta maua hili.

Nachokuombea tu kwa Mungu awe amekujaalia, usiwe kama wale wahubiri wa kwenye mimbari chini ya miamvuli ya dini.

Huwa wanahubiri mambo ambayo hawawezi na hawajawahi kuyafanya!

Mtu anahubiri: 'usizini', pamoja na madhara yote ya dhambi ya uzinzi.

Lakini sasa, yeye mwenyewe huyo anakuja kufia 'gest' juu ya kinena cha mwanamke na dunia nzima inajua!

Tatizo la wanaume ni kama mambwa linapofika suala la mapenzi pamoja na mahusiano.

'Aaargh mimi, mwanamke hanibababaishi'..., huyo huyo unamfuma karundikiwa rundo la nguo akifulishwa, mke kakaa zake akichat, jamaa akidai kupalilia penzi.

Saazingine hayanaga formula mambo hayo ingawa kushituana ni vizuri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom