Hakuna Red Brigade Kigoma?

Hakuna Red Brigade Kigoma?

Sixgate si alisharipoti toka jana kuwa yuko kigoma ana organize maandamano? Tumeshawajua dawa ni kupambana nao tuu.


That's what i'm talking about....hii kitu! inaonesha kuna watu wako kwenye mission wamepania.
 
Ili uipiganie ccm yapaswa ubongo wako uwe na kamixture ka kimba kikubwa.
 
mnaendelea kutafuta picha za kuedit, tunavyowajua nyie kwa kupenda sifa picha zingekuwa zishakuwa uploaded kitambo sana!! hata jana za kahama mmeweka za mwaka 2011.....ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana

pcha za kedit nazo ni za kutafuta si copy and pest mmeishiwa bora mwondoke umu,habari za zzk ndo zimekatika ebo
 
Hayati mobutu seseko kuku wa bazanga aliwahi kusema ukiona imbwa iko juu ya muti ujue kuna mutu kaipandisha.
 
Songa mbele Dr Slaa. Tuko na wewe daima.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni kweli mkuu,

Hata hivyo Nimeongea na Makene Muda huu.Dr.Slaa yupo Jukwaani anaendelea na mkutano mkubwa.Anasema hadi CCM wameingia kusikiliza.Picha zitatumwa soon

sio rahisi kutuma picha_labda zile za minazi wakat Kahama hawajawah hata kuuona
 
Ni kweli mkuu,

Hata hivyo Nimeongea na Makene Muda huu.Dr.Slaa yupo Jukwaani anaendelea na mkutano mkubwa.Anasema hadi CCM wameingia kusikiliza.Picha zitatumwa soon

Kiongozi tusionyeshe udhaifu kwakutotatua differences zilizopo kati ya kundi la Slaa na Zitto.. Tunakataa kwamba kila kitu kiko poa lakini ukweli chadema si shwari.. Kama picha zingekuwepo tungekuwa tumeshaziona hata wakati wamkutano, lakin kwa sababu ni aibu namna alivyopokelewa ndo maana tunatafuta picha za kutengeneza.. Yote haya ni sababu ya uamzi mliofanya ambao unakitafuna chama ndani kwa ndani na tutaona matokeo sku moja
 
Back
Top Bottom