Hakuna Rais

Hakuna Rais

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,645
Reaction score
1,672
Wana Jf,
kuna wau wanasema eti kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa, hili li nchi ni kama halina Rais kwa sasa. Maana kila kitu kiko shagalabagala na hatujasikia mikakati yoyote ya kukabiliana na hali ngumu...
Wengine wanafikia hatua ya kusema eti mara ya mwisho nchi hii kuwa na Rais ni mwaka 2004, baada ya hapo, tumekuwa tukisonga mbele kwa kudra za mwenyezi Mungu.....
Kazi ipo!........................
 
alivosikia ikulu mzigo mzito akadhani anaenda kubeba zigo la MISUMARI
 
Kwan jk ni rais wa wap jaman?
 
Kwa kweli inauma sana mtaani sasa hivi tumebanana sana pesa haipatikani biashara hazifnyiki gharama ya vitu juuu, sioni mwisho itakuwaje. Kweli kama ni chombo kinaenda bila rubani
 
WanaJF hii ni hoja nzito haihitaji majibu mepesi. Kifupi nchi ina rais kama ilivyo utaratibu lakini naomba niwapeni siri moja kauli ya rais ndiyo ya mwisho kabisa hivyo rais anatakiwa kuongea katika mambo ambayo ni sensitive kabisa. Sasa tatizo la nchi hii, hali ya uchumi inadorora sana hata kama ungekuwa wewe ni rais ungesema nini, ni bora kukaa kimya na kuchukua hatua kimya kimya kuliko kusema uongo na hayo uliyosema yasitokee. Kimya cha JK kina maana kuliko kuongea ongea halafu mambo yaende kinyume. Suala lingine analoshtumiwa JK ni kuhusu maamuzi magumu.
 
in red, mkuu unataka kunishawashi kwamba kimya kingi kina mshindo mkubwa...
 
Wana Jf,
kuna wau wanasema eti kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa, hili li nchi ni kama halina Rais kwa sasa. Maana kila kitu kiko shagalabagala na hatujasikia mikakati yoyote ya kukabiliana na hali ngumu...
Wengine wanafikia hatua ya kusema eti mara ya mwisho nchi hii kuwa na Rais ni mwaka 2004, baada ya hapo, tumekuwa tukisonga mbele kwa kudra za mwenyezi Mungu.....
Kazi ipo!........................

in red, mkuu nchi hii iko hivi...
awamu hii ikiwa na rais, basi awamu ijayo inakosa rais na kinyume chake ni sawa...
angalia huu mtiririko toka awali Nyerere - Mwinyi - Mkapa - Kikwete - ............(2015)
mtazamo wangu
 
'serikali haiwezi geuka mvua........'wanaopata mimba ni kwa sababu ya viherehere vya.'hata mimi sijui kwa nini tanzania ni masikini'.....Kwa kauli kama hizi za rais unaweza sema tuna rais!yeye kama msemaji wa mwisho anatoa kauli rahisi kama lay man,watendaji wake watafanyaje?ndo maana hata wanadiriki kuwaambia wananchi watawashikisha ukuta(Nape)!Binafsi sina rais!mwenyewe ndo rais wa maisha yangu na familia yangu!
 
Bora hata angekuwa anakaa kimya na kuchukua hatua! JK anaropoka tu mara nyingi, ukiona amekaa kimya ujue hana cha kusema na wala si busara.

The bottom line is:

HAJUI ANALOTAKIWA KUFANYA NA NCHI DHAHIRI IMEMSHINDA.

WanaJF hii ni hoja nzito haihitaji majibu mepesi. Kifupi nchi ina rais kama ilivyo utaratibu lakini naomba niwapeni siri moja kauli ya rais ndiyo ya mwisho kabisa hivyo rais anatakiwa kuongea katika mambo ambayo ni sensitive kabisa. Sasa tatizo la nchi hii, hali ya uchumi inadorora sana hata kama ungekuwa wewe ni rais ungesema nini, ni bora kukaa kimya na kuchukua hatua kimya kimya kuliko kusema uongo na hayo uliyosema yasitokee. Kimya cha JK kina maana kuliko kuongea ongea halafu mambo yaende kinyume. Suala lingine analoshtumiwa JK ni kuhusu maamuzi magumu.
 
WanaJF hii ni hoja nzito haihitaji majibu mepesi. Kifupi nchi ina rais kama ilivyo utaratibu lakini naomba niwapeni siri moja kauli ya rais ndiyo ya mwisho kabisa hivyo rais anatakiwa kuongea katika mambo ambayo ni sensitive kabisa. Sasa tatizo la nchi hii, hali ya uchumi inadorora sana hata kama ungekuwa wewe ni rais ungesema nini, ni bora kukaa kimya na kuchukua hatua kimya kimya kuliko kusema uongo na hayo uliyosema yasitokee. Kimya cha JK kina maana kuliko kuongea ongea halafu mambo yaende kinyume. Suala lingine analoshtumiwa JK ni kuhusu maamuzi magumu.

Angefuatilia kimyakimya tungeona mabadiliko naona yeye anafikiria ni msanii gani atapiga nae picha basi
 
Back
Top Bottom